picha moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kijana wa kawaida wa Kitanzania in one picture

  5. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio matatizo ya Kenya katika picha moja

    👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 Siasa za kikabila Siasa za kimafia Siasa za kugawana juu kwa juu Madhara yake👇🏻👇🏻👇🏻
Back
Top Bottom