appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,819
- 3,088
Makundi matatu yanayoogopwa na serikali ni
1. Askari
Hawa wanasikilizwa haraka sanaaa kwan wakikasirika hawatak siasa mpaka jambo lao litimie wanaongozwa na itikad moja juu ya hitaj lao kifo sio hofu kwao wanataman kifo kama mlokole anavyotaman kuket kuume kwa yesu kristu serikali inawaogopa sanaaa inawafanya kua karibu
2. Bodaboda
Hawa jamaa ni taifa kubwa ni taasisi kubwa sanaa ina uongoz na wafuas wako organize nchi nzima na wako active balaa tukio linaweza kutokea mbagala wakaja boda boda mia tano kutoka bunju ndan ya dk 20 tu
Hawa wabaongozwa na hasira na chuki kwa aliwakera msamaha wao ni kuua tu hawana adhabu yoyote kifo kwao hawakitambui kama kipo wanaishi leo milele hakuna kifo wala kesho ubongo hautambui kama kuna kufa serikal inawaogopa inajitahid kuwakumbuka na kuwapooza kila wakat ili wasifanye makasiriko
3. Machinga
Hawa wako nch nzima ukigusa maslai yao tu utaona chche zao lakin wale kajamba nan ndio wana hasira kina vunja bei hawako tayar kupigania haki zao hawa wanakumbana na mgawanyo wa kutawaliwa serikal imewawin hawa kwa kuwapa mapandikiz usalama wa taifa na wapepelez wengi wanajifanya wamachinga na wana mitaj mikubwa hii inazuia kua na mtazamo mmoja wanakua wabakinzana serikal imewawai kwa kuwapa divide and rule maana mnakumbuka vita ya machinga ya miaka zaman na polis ilikya hapatoshi damu ilimwagika leo ukifika kariakoo parking imejaa gar za thaman za machinga machinga ana mtaji wa bilion 2 serikal imemwaga mikopo ming machinga sio tishio kubwa ndio maana ukitokea mgomo au mgogoro unskua dhaifu kwisha habar
Maandamano yoyote yatakayohusisha makund haya ni hatar sanaaa kwa taifa nje ya hapo sio tishio kunakua hakuna mobilizing movement ya haraka. Hayo makund yanaweza kujiorganize ndan ya saa moja nch nzima .
Nawatakia oktoba 29 njema asanteeee