Haya ndio madhara ya uongo

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
[h=5]Wanasiasa 40 wa CCM walipata ajali
mbaya sana porini maendeo ya Dumila wakitokea Dodoma na baada ya
ajali hiyo polisi walimkuta mkulima eneo la ajali..
Polisi: "Unaitwa nani?"
Mkulima: "Naitwa Davy Afande"
Polisi: "Uliona jinsi ajali ilivyotokea??"
Mkulima: "Hapana Afande."
Polisi: "Zipo wapi maiti?"
Mkulima: "Nimezizika zote"
Polisi: "Una uhakika wote walikua
wamekufa?"
Mkulima: "Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua hawa jamaa wa Chama Tawala walivyo waongo!!! Mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote.."[/h]
 
Back
Top Bottom