Haya nawauliza swali tete humu ,kuhusu marafiki kuzungukana kimapenzi,mkiweza jibuni.

Chuo ndo tulifanya hayo mambo. Ni part ya ukuaji.
Na hii ni common kama mtu una kakitu kanakupa advantage over masela zako.
Mf. Unachana sana, unaplay guitar n.k...
Yaani unaweza kula sana mamanzi wa masela.
 
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
Ndiyo
 
Dah nimekumbuka sana wakati ule tulipanga jengo mabachela tupu tulikuwa 7 aiseee ilikuwa uchafu demu wako akija akikukosa unakuta yupo chumba cha pili na unachekwa hatari nawe unamtafuta mnyonge wako niligongewa demu wangu na best yangu kabisa nikaama kabisa nyumba ile ilikuwa upumbavu kabisa
 
Nilishaga wahi kufanya hiyo mambo

Rafiki yangu alikuwa na chombo/kisu hatari sana.

Kuna siku nilienda nae sehemu akawa amemuita huyo mpenzi wake

Tulikaa muda kidogo huyo mpenzi wa jamaa akawa ananiangalia sana mpaka nikawa najisitukia niko vipi leo mbona huyu manzi ananiangalia sana.

Muda jamaa akaenda kukojoa demu kaniomba simu yangu akaweka namba yake na kuisevu kabisa.

Kilichofatia ni siri yangu kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom