Haya nawauliza swali tete humu ,kuhusu marafiki kuzungukana kimapenzi,mkiweza jibuni.

umeona eeh? Kuchukua boyfriend wa rafiki sio dhambi, labda mume
Ndugu,nimeandika boyfriends na girlfiends tu ili nisiwakatishe watu tamaa na kuwatisha,tena huko kwenye wake za watu na waume za watu ni balaa,watu wanazungukana hatari.hisia ni zilezile tu.Hata hivyo yote inategemea naujasiri wa mtongozwaji,kuna watu wanatoka na wake au waume wa wenzao huwezi amini.humo kwenye nyumba za kupanga ama nyumba za kota ni noma Dada yangu usisiskie watu wanazungukana sana,nina mifano hai siwezi kusema humu.ila mimi sihusiki kwa namna yeyote ile.
 
Tehteh Mi nikimpenda jamaa wa mtu hata humu najilipua tu.....
Hata kama huyo jamaa alishafunga ndoa na huyo rafiki yako? yaani mume wa ndoa?Namaana kuwa baada ya kutambulishwa au kufahamiana akatafuta upenyo akaomba kuongea na wewe,halafu kwa mazungumzo yake akaelezea maumivu anayoyapata amabayo wewe ndio sababu, na jamaa ana kila sifa uazozitaka,waweza jilipua pia?
 
Rafiki yangu kesha wahi nifanyia huu mchezo chuo sitasahau mpk leo nikikumbuka nasikitika .
Halafu ni kinyaa kuwa na mtu ambae keshakua na rafiki yako, yani mmmh inataka ujasiri wa kipekee na uso usio na aibu.
Unajua kitu kingine ni nini? ni kuwasimulia marafiki juu ya mambo mazuri unayofanyiwaga na mtu wako,hali hii huwatia ukichaa baadhi ya marafiki na kutamani nao waonje asali.
 
Shemeji alinibana konani wakati wa el-nino, mumewe alikwama huko na gari, ikabidi nimpe haraka haraka cha wima kabla watu hawajaja. na ikawa siri. ila naomba msamaha kwa mke wangu na wewe
 
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
ki ukweli sijawahi ila mimi mtu amabaye simjui akiona demu wangu hapo natulia na ninaachana na huyo demu ila kama ni rafiki yangu wakaribu aisee namfanyia kitu mbaya sana
 
Rafiki yangu kesha wahi nifanyia huu mchezo chuo sitasahau mpk leo nikikumbuka nasikitika .
Halafu ni kinyaa kuwa na mtu ambae keshakua na rafiki yako, yani mmmh inataka ujasiri wa kipekee na uso usio na aibu.
Huyo rafiki yako alikuibia demu wako au mke wako?
 
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom