Haya nawauliza swali tete humu ,kuhusu marafiki kuzungukana kimapenzi,mkiweza jibuni.

Rafiki yangu kesha wahi nifanyia huu mchezo chuo sitasahau mpk leo nikikumbuka nasikitika .
Halafu ni kinyaa kuwa na mtu ambae keshakua na rafiki yako, yani mmmh inataka ujasiri wa kipekee na uso usio na aibu.
 
Mahusiano ni falsafa ndefu ambayo imeshikwa na viungo vingi katikati kama marafiki au familia, kwa hiyo unapokuwa na mpenzi ni lazima utamtambulisha kwa ndugu, jamaa, marafiki na wengineo ambao watakuwa ni watu wa karibu nawe kwa wakati huo

kuna marafiki wa aina nyingi sana katika urafiki wetu. Kuna maeafiki ambao wana utu na heshma na kuna wengine ambao ni mashetani wanaoasubiri uanguke wao wapate kushika nambari yako. Sasa ukiwa umezungukwa na marafiki hao basi jua usimuonyeshe jambo lako lolote ambalo linakuhusu kwani mwisho wa siku lazima apambane naye awe nalo bila kuangalia gharama wala maumivu ambayo atakusabibishia katika upatikanaji wa jambo hilo

Hili ambo ni la kawaida sana na inategemea na urafiki mlionao na kutokuwa na uaminifu atika urafiki wenu. Sometimes demu anaweza akajiegesha kwa mshkaji baada y amshkaji kuonekana kama anasomeka sana kwa demu kuliko kwa mshkaji ambaye ndo ana demu,kama mshaji sio mstaarabu anaamua kumega kimya kimya ila demu naye awe na staha kwa mshkaji.

Kubwa ni heshima kwa pande zote mbili. ingawa inauma sna ukija kugundua kama unamegewa demu wako na mshkaji wako wa karibu ambaye mwanzo alikuwa anajua mahusiano yako tena anayakubali hatari.

Poleni sana kwa wale ambao walishatendewa hayamambo ila kwa uupi haya mambo yapo kwa sana
Wew hekima ipo.
 
hivi maana ya urafiki ni nini?ni bora usiseme rafiki.. sema tu nimemzunguka jamaa yangu toshaa......neno rafiki lina dhana kubwa sana ktk maisha yetu, tusilichukulie simple....rafiki yako wa kweli ambae unakiri mwenyewe huwezi mfanyia huo upumbavu....hata kwa kumtamani tuuu...kemea hilo pepo....
 
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
Nilikuwa na dem wng akanitambulisha kwa rafiki yake akawa na tabia ya kuja na huyo best ake geto,, haikupita mda yule Dada akawa anavizia anakuja mwenyewe geto kunitembelea, siku akatoroka chuo akaja geto mvua ikawa inanyesha, tulijikuta tumebanduana mala kadha, mpk Leo dem wng hakuwahi kujua kilichotokea!
 
Nakumbuka zamani sanaaaaa... nikiwa sekondari.. ! Jamaa yangu alikuwaga kicheche sana, alikuwa na demu hapo karibu..! Siku moja akasafiri kwenda mkaoni, nikiwa naoga, na demu wake kaja kuoga karibu na bafu nililokuwepo ( tulikuwa tumepanga kotaz, )... nikajikuta nazama bafuni kwa shemeji, nikapenyeza chulululuuuuuuu....

manina zake yule demu, kaja kumhadithia mshikaji, "eti nimestukia imezama tu ndani"..!

but ilikuwa utoto,
 
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama wewe mdada ulishawahi kuoneshwa mpenzi wa rafiki yako wa kike (boyfriend wa rafiki yako),kisha ukafanya hila, ukamzunguka rafiki yako ukamlia vyake?
Swali tete!
Sio swali tete mademu wanafanya sana hiyo Kwa marafiki zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom