Haya, Masopakyindi huyo!

Haya, Masopakyindi huyo!

Yaani nimefurahia tu jinsi ulivyojitambulisha;

Mimi hapo , Masopakyindi a.k.a mburula
a.k.a wa buku saba
a.k.a mCCM


Na hasa hapo a.k.a buku saba

Tiba
 
Haya mambo ya kuumizana macho na flash tena duuuh... ngoja nitafute miwani ya fundi welding maana naona kitambi tu sura siioni.
 
Najua mwili uko kwa watoa buku saba lakini roho iko kwa wapigania haki za wanyonge (Peopleeees power), endelea kuvaa GWANDA baba tuko pamoja.
 
Najua mwili uko kwa watoa buku saba lakini roho iko kwa wapigania haki za wanyonge (Peopleeees power), endelea kuvaa GWANDA baba tuko pamoja.

kumbe masopakyindi ni mjanja wa kombati,buku saba ndo zinambakisha lumumba
Wakuu nililovaa si kombati wala gwandaz hiyo ni CADET, pamba zangu za siku nyingi.
Mtanzania yeyote ni ndugu yangu na Afrika ni moja.
 
Wakuu nililovaa si kombati wala gwandaz hiyo ni CADET, pamba zangu za siku nyingi.
Mtanzania yeyote ni ndugu yangu na Afrika ni moja.
Hata New York City haikujengwa kwa siku moja, mwanzo wa ngoma leleleleleleleee na mwanzo wa Kombati na Khaki.
 
Back
Top Bottom