Haya, Masopakyindi huyo!

Haya, Masopakyindi huyo!

attachment.php
 
Heheheeeee umeamua kujilipua hayaa subiria uone matokeo yake mmmhhh, kuna wanaoamini humu kuwa mwenye kitambi ana pesa hasa za kunywa na kula na kustarehe, kazi kwako.
Hahahahaaaa jina lako mie nimeshindwa kulitamka nitakuwa nakuita baba nanihii, ila watu8 kakuigiliza sijui nayeye anafanana na wewe..??
 
Last edited by a moderator:
We mburula usitufanye sisi kama wewe; haiwezekani wewe ndio wa jina hilo wewe ni proxy tu; ungekuwa ndiye usingevaa hiyo combat bali shati la kijani kuonesha uzuzu wako na chama cha magamba!!!
 
We mburula usitufanye sisi kama wewe; haiwezekani wewe ndio wa jina hilo wewe ni proxy tu; ungekuwa ndiye usingevaa hiyo combat bali shati la kijani kuonesha uzuzu wako na chama cha magamba!!!
Tokea leo muache kuniiga, siye hatuesmi combat, hiyo ni CADET!!!
 
inaonyesha hapo mbele umefungasha mashalah baba kwenye kundi la vibayamaya haupo kabisaaa
 
View attachment 112409
Kuna walioni-pm, wakitaka kunijua
Mimi hapo , Masopakyindi a.k.a mburula
a.k.a wa buku saba
a.k.a mCCM

Ukinikuta sikosi kamera karibu!!




Ila mkuu ni kweli kwani hizo sifa hapo juu ni za Kikwete, Kinana, Nape, na Pinda.....yaani hujakosea kitu hata kidogo labda tu kujazia uvuvuzela na ufinyu wa mawazo pamoja na ujambazi wa meno ya tembo.
 
kazi kweli kweli taratibu mnaanza kujilipua wenyewe haya
 
Next time nyoosha nguo zako. umekaa kihasarahasara.
 
Back
Top Bottom