Haya maneno ni kweli kwamba ndio maneno ya mwisho kusemwa na Magufuli?

1616634470230.jpeg

Ofcourse jamaa kuwaamini ni issue. Jamaa alisimama ibadani akasema jiwe anachapa kazi, ilhali wanajua ukweli.

Hayo maneno wanadai yalikuwa ya mwisho toka kwake, ni kama yapo cooked
 
Haya meneno yanatrend sana mtandaoni kwamba ndio maneno ya mwisho ambayo magufuli alimwambia Pengo hospitalini dakika zake za mwisho kabla hajaaga dunia,Maneno yenyewe ni haya.

Haya maneno ni ya kweli? Kuna mahali Pengo kanukuliwa akiyasema?..

" Tafadhali nawaomba msihangaike wala kupoteza Pesa kunipeleka popote kwani naona Siku zangu zimefika mwisho kutokana na hili tatizo nililonalo, ila endeleeni Kushikamana, Kuchapa Kazi na Kutanguliza Mama Tanzania. Naombeni tusali kwa pamoja na Baba Askofu Pengo na Ndugu yangu Mufti na nitaongoza Sala Mwenyewe kisha na Wao wataniombea nikimaliza Asanteni "
 
Haya haya haya
 
Akasema na hv tena....... Ifke mahali tuache huyu baba apumzke
 
According to the Kenyan newspaper the Daily Nation , Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Tanzania's capital Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated.

The publication said he died at Mzena Hospital in Tanzania shortly after arrival from Kenya on Thursday 11 March, countering the announcement by the government that he died a week later on March 17.

Citing sources, the Daily Nation said Magufuli "was flown to Kenya secretly on March 8 after suffering acute cardiac and respiratory illnesses, was under intubation when a decision was made to fly him back home".

Daily Nation said his entry and exit from Kenya was a guarded affair and that only select National Intelligence Service (NIS) officials and members of the National Security
Tupia hapa hilo gazeti mkuu
 
Labda twende tukamuhoji Pengo, mtumishi wa Mungu hawezi kusema uongo
 
Haya meneno yanatrend sana mtandaoni kwamba ndio maneno ya mwisho ambayo magufuli alimwambia Pengo hospitalini dakika zake za mwisho kabla hajaaga dunia,Maneno yenyewe ni haya.

Haya maneno ni ya kweli? Kuna mahali Pengo kanukuliwa akiyasema?..
Hebu Baba Askofu Mkuu Mstaafu aachwe amalizie pension yake vizuri asichumiwe dhambi asiyostahili! Eti yanasema aliongea naye tarehe 16/03/2021, sasa Pengo akisema alimpa kitubio tarehe 8 watasemaje?
 
Haya meneno yanatrend sana mtandaoni kwamba ndio maneno ya mwisho ambayo magufuli alimwambia Pengo hospitalini dakika zake za mwisho kabla hajaaga dunia,Maneno yenyewe ni haya.

Haya maneno ni ya kweli? Kuna mahali Pengo kanukuliwa akiyasema?..
Mataga walitunga hao.
Hayo ni maneno ya Nyerere.

Wametubadilishia maneno
 
Maisha yaendelee kuwa magumu tu, tupate kazi za kufanya ili tusishinde mitandaoni
 
Ndugu zake wamesema hivyo, Kardinali pengo naye sasa kasema hivyo, na wanasema hata Sheikh mkuu pia alikuwapo; je wote watakuwa wanasema uwongo kweli?
Mkuu,iliposemekana muheshimiwa rais amefariki wewe ulisema kuwa ni mzima na amefunga kwaresma,na source yako ilikuwa ni waziri wa nchi hii,lakini haikua hivyo...ukweli ni kwamba uliweza ku-shatter down your credibility kwa kauli zako mwenyewe.
 
Msamehe 7 Mara 70 Chief!

BAK life is certainly serious but really, not to that extent!

Tuvumiliane! It’s Life!
Huyu mjinga mjinga tu huko aliko anafkiri hatujui,
ndo wale wale hapa sa hizi wanachekelea hawajui athari ziko wapi.
Maisha yote yatapinduka inarudi mijizi na mifisadi mtaani lenyewe linakenua tu sababu Magufuli kafa.
Shame
 
Back
Top Bottom