Haya maneno ni kweli kwamba ndio maneno ya mwisho kusemwa na Magufuli?

Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
3,296
2,000
According to the Kenyan newspaper the Daily Nation , Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Tanzania's capital Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated.

The publication said he died at Mzena Hospital in Tanzania shortly after arrival from Kenya on Thursday 11 March, countering the announcement by the government that he died a week later on March 17.

Citing sources, the Daily Nation said Magufuli "was flown to Kenya secretly on March 8 after suffering acute cardiac and respiratory illnesses, was under intubation when a decision was made to fly him back home".

Daily Nation said his entry and exit from Kenya was a guarded affair and that only select National Intelligence Service (NIS) officials and members of the National Security
Tangu lini wakenya wakawa wakweli kama hata mlima kilimanjaro wanatangaza uko kwao

Wapi na wapi

Kenya ni waongo san kama wewe
 
Chura

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
359
500
Kwa hiyo kilichoandikwa na gazeti la Kenya bado wewe hukiamini hahahaha! Basi tuwekee wewe ushahidi wako kwamba jiwe halikuwa Nairobi au ngoja tu nikusaidie na ushahidi ambao UTAUAMINI. View attachment 1733739
Unajua kusoma kweli ankali?Au unajua kusoma kuelewa ndo tatizo? Majaliwa hajatajwa popote lakin cha ajabu umeshadadia kweli, aliyekwambia uongo wa Majaliwa akiwa msikitini ndo Ukweli wa wawakenya kwenye media zao nani??Tumia akili kidogo mambo mengine sio hadi wale wa jikoni wawaambie common sense can sometimes decode a paradox. Ukicheki kwa kutulia utaona kwenye utawala wa hayati tulikua kwenye diplomatic tension na wakenya angewazaje mkuu wa nchi kuwa admitted kwenye hospital ya threats? Only mad can buy this subversive whistle.
 
Chura

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
359
500
Chief, nisome tena!!! Please!

Hakuna sehemu nimesema namuamini mheshimiwa Majaliwa wala hicho alichokisema!!

But I will be the last one to believe the late , JPM alienda Kenya for matibabu before his demise!

And nimeomba ushahidi wa the late akiwa Nairobi hospital or viunga vya jiji (even airport Nairobi)! Even just a glimpse!

Kumbuka, Imani haina Ushahidi!
Ushahidi unaweza usiwepo kitendo cha kiongozi kuwa admitted mzena we jua issue ya afya yake ni lazima iwe siri. Mzena (Ikulu dispensary) ilianzishwa makusudi Kuzuia flow of informations hususani za afya za viongozi (kiongozi akiumwa anything can happen so responsible organ needs time to consume and decide...) swala la msingi hapa kwa jinsi tulivyokua na mvutano na Kenya, Rais angewezaje kulazwa pale?I'll also be the last to buy this crap
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,571
2,000
Siku akiwa mbinguni na nyie motoni ndio mtakapojua kua Mungu ni Mungu wa rehema, kama alipata nafasi ya kutubu mwishoni Mungu amemsamehe, na Mungu anasamehe dhambi zooteeee, kikubwa ni unamalizaje safari yako
Amesamehewa kama nani aliyepata kusamehewa tupe mfano
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,571
2,000
Ushahidi unaweza usiwepo kitendo cha kiongozi kuwa admitted mzena we jua issue ya afya yake ni lazima iwe siri. Mzena (Ikulu dispensary) ilianzishwa makusudi Kuzuia flow of informations hususani za afya za viongozi (kiongozi akiumwa anything can happen so responsible organ needs time to consume and decide...) swala la msingi hapa kwa jinsi tulivyokua na mvutano na Kenya, Rais angewezaje kulazwa pale?I'll also be the last to buy this crap
Pangekuwa na mvutano Kenyatta asingekuja kuzika, mvutano ni wa viongozi wa chini wala sio ngazi ya juu.
 
Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,819
2,000
Ushahidi unaweza usiwepo kitendo cha kiongozi kuwa admitted mzena we jua issue ya afya yake ni lazima iwe siri. Mzena (Ikulu dispensary) ilianzishwa makusudi Kuzuia flow of informations hususani za afya za viongozi (kiongozi akiumwa anything can happen so responsible organ needs time to consume and decide...) swala la msingi hapa kwa jinsi tulivyokua na mvutano na Kenya, Rais angewezaje kulazwa pale?I'll also be the last to buy this crap

Kuhusu ushahidi nimeomba wa Jijini Nairobi Chief.

Waswahili wako na semi yao ;”Halifichiki pembe la ng’ombe”

Nikiutumia kwa mantiki yangu ni kwamba; hata gari za kubeba mwili wa Hayati JPM zilionekana wazi (sina hakika kama ni kweli ama zilikua za kipindi cha Hayati BWM, kuna mjadala hapa!)

Tuko pamoja kwa suala la kuwa admitted in any Kenyan/Nairobi hospital! Lazima tungepata hata kipicha cha kuibia , kwa mbaliiiiii!

Anyway! For all I know Msiba huu wa huyu kiongozi wa Nchi utazidi na unazidi kutufunulia mengi ambayo hapo mwanzo most of us thought, it’s all just normal propagandas from politicians in struggle for Power!
 
Kama wanasema mapokezi ya hayati huko Nai yaliratibiwa na NIS ya Kenya bado yakavuja kwa wahuni wa Daily News ....Ina maana state ndo ilivujisha hiyo siri kwa makusudi na wakenya kwa sifa lazima wanageambatanisha na tupicha twa makusudi walau wa ile ndege ya ambulance. ... nachotaka kusema hapa ni kuwa kama secret service walivujisha hii walikua na uwezo wa kuvujisha na picha pia maana wao si ndo wao kule kwa Kenyatta..kukosekana kwa ushahidi huo inafanya hii story iwe doido la kiyunani.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,119
2,000
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Taifa limejaa wajinga waliokithiri. Maccm hayakukosea kabisa kuangusha elimu ya nchi ili tuwe Taifa la Wapumbavu kuliko Taifa lingine lolote duniani.

Unajua kusoma kweli ankali?Au unajua kusoma kuelewa ndo tatizo? Majaliwa hajatajwa popote lakin cha ajabu umeshadadia kweli, aliyekwambia uongo wa Majaliwa akiwa msikitini ndo Ukweli wa wawakenya kwenye media zao nani??Tumia akili kidogo mambo mengine sio hadi wale wa jikoni wawaambie common sense can sometimes decode a paradox. Ukicheki kwa kutulia utaona kwenye utawala wa hayati tulikua kwenye diplomatic tension na wakenya angewazaje mkuu wa nchi kuwa admitted kwenye hospital ya threats? Only mad can buy this subversive whistle.
 
Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,819
2,000
Kama wanasema mapokezi ya hayati huko Nai yaliratibiwa na NIS ya Kenya bado yakavuja kwa wahuni wa Daily News ....Ina maana state ndo ilivujisha hiyo siri kwa makusudi na wakenya kwa sifa lazima wanageambatanisha na tupicha twa makusudi walau wa ile ndege ya ambulance. ... nachotaka kusema hapa ni kuwa kama secret service walivujisha hii walikua na uwezo wa kuvujisha na picha pia maana wao si ndo wao kule kwa Kenyatta..kukosekana kwa ushahidi huo inafanya hii story iwe doido la kiyunani.

Sina la kuongeza Chief!

BAK songea Kaka!
 
Chura

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
359
500
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Taifa limejaa wajinga waliokithiri. Maccm hayakukosea kabisa kuangusha elimu ya nchi ili tuwe Taifa la Wapumbavu kuliko Taifa lingine lolote duniani.
Sasa ndo umeandika nini ??? We ni mgonjwa? Yani una shida kwenye mfumo wa ubongo? Maccm mara elimu vinahusianaje na mada? Mzee toa proof hayati alikua admitted Nai usijichekeshe chekeshe hovyo.
 
Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,819
2,000
Ili iweje? Kajisemea Bagonza wakati tulipokuwa na chuo kikuu kimoja hatukuwa na wajinga wengi kiasi hiki lakini sasa idadi ya vyuo vikuu imeongezeka na idadi ya wajinga imeongezeka kwa kasi ya kutisha. Ndiyo sababu nchi imekuwa kichekesho si kwa majirani zetu bali dunia nzima.

Chief, the meandering in your statements are too much! Exceptional!

Rudi kwenye hoja please!

Ushahidi wa Mwendazake Hayati JPM kuwepo hata viunga vya Nairobi international airport, japo kwa mbali! Please!

Askofu Bagonza? Dah!

Twende taratibu Chief...
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,777
2,000
Na kama ni yake, basi hajafa kwa tatizo la moyo. R.I.P JPM.
Kama ni yake, basi hajafa kwa Korona; mgonjwa korona dakika za mwisho huwa hawezi kusema neno lolote. Mgonjwa wa moyo anaweza kusema kabisa, ila kwa haraka haraka akiwa anatetemeka huenda na kuhema
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,777
2,000
Haya meneno yanatrend sana mtandaoni kwamba ndio maneno ya mwisho ambayo magufuli alimwambia Pengo hospitalini dakika zake za mwisho kabla hajaaga dunia,Maneno yenyewe ni haya.Haya maneno ni ya kweli? Kuna mahali Pengo kanukuliwa akiyasema?..
Ndugu zake wamesema hivyo, Kardinali pengo naye sasa kasema hivyo, na wanasema hata Sheikh mkuu pia alikuwapo; je wote watakuwa wanasema uwongo kweli?
 
Mbeshe

Senior Member
Jan 26, 2021
179
250
Haya meneno yanatrend sana mtandaoni kwamba ndio maneno ya mwisho ambayo magufuli alimwambia Pengo hospitalini dakika zake za mwisho kabla hajaaga dunia,Maneno yenyewe ni haya.Haya maneno ni ya kweli? Kuna mahali Pengo kanukuliwa akiyasema?..
Sina uhakika,wala siwezi kukataa kwa asilimia mia.Tungoje watumishi wa Mungu leo watakapoongoza misa ya mazishi watatuambia.Wao ndio wapakwa mafuta na vinywa vyao vimejaa ukweli bila uzushi bali na hekima wanayo kubwa.

Lakini tuliambiwa mh.alikuwa mzima sana na alikuwa anachapa kazi.Na Mh.mmoja wa Mbeya alipokea simu kutoka kwa mh.Hebu unganisha hizo tarehe na nyie wataalamu mtupe majibu hapa huu ubishi na ndugu yangu hapa uishe.
 
Mbeshe

Senior Member
Jan 26, 2021
179
250
Hakuenda popote Alicia hpa hapa
Hawa jamaa wa nchi jirani na tv zao kina ktn news,ktn,kina tv citizen,na magazeti yao walidanganya.Aisee kweli hawa ni zaidi ya mabeberu.Tuwapige ban kwenye ving,amuzi vyetu vyooooote.Nasubiri kutoka kwa wale wataalamu wa mawasiliano wa lockdown.Msiwaonee huruma walisema uongo.
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,835
2,000
M

Atusi si suluhisho.Presure itakuua chunga sana.
Ni suluhisho kwa wapuuzi kama hawa, huyu ana chuki za wazi toka zamani na marehemu,ndo maana anashadadia sana habari za wakenya kuhusu kifo.
We rais azidiwe apelekwe Kenya achekiwe, arudishwe in 3 days?
Then after karudi kafa.
Then ina maana walienda kummalizia tu huko
Hivi inaweza kukaa ikaingia akilini huu ufala huu.
Hili pumbavu BAK hata sijui kabila gani lakini litakua limezaliwa kwenye mafimafi tu.
 
Coach Slamah Hamad

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
1,819
2,000
Ni suluhisho kwa wapuuzi kama hawa, huyu ana chuki za wazi toka zamani na marehemu,ndo maana anashadadia sana habari za wakenya kuhusu kifo.
We rais azidiwe apelekwe Kenya achekiwe, arudishwe in 3 days?
Then after karudi kafa.
Then ina maana walienda kummalizia tu huko
Hivi inaweza kukaa ikaingia akilini huu ufala huu.
Hili pumbavu BAK hata sijui kabila gani lakini litakua limezaliwa kwenye mafimafi tu.

Msamehe 7 Mara 70 Chief!

BAK life is certainly serious but really, not to that extent!

Tuvumiliane! It’s Life!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom