Haya maisha bhana!!

Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

Wakati wako bado Mkuu. Usiwaze negatively sana ndio maisha yalivyo, Sometimes You have to be content the way you are.
Hakuna mtu ambae yuko perfect 100 asilimia. Na kumbuka kwamba hata Mti wa Machungwa au Maembe matunda yake huwa hayaIvi yote kwa wakati mmoja kila tunda huiva kwa wakati wake.
Au sio Misss Leejay49 ๐Ÿ˜…
 

Alyways ni rahisi sana kumtofautisha mwanaume na mvulana, kukosa tu kazi ndo unakufuru mpaka unahoji sababu ya kuzaliwa?
 
Umenena vyema kiongozi ๐Ÿ˜Š๐Ÿค
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ