Haya mabasi yatatuua yatumalize

Haya mabasi yatatuua yatumalize

Duh!!Kwa style hii,roho za abiria wengi ziko mashakani!!!
 
Acha tu wafanye ivyo wanakoenda ni mbali wakifata lorry nyuma watafika baada ya wiki
 
Mbona eneo jeupe tu na clear kwa overtake,kuna ubaya gani sasa? "mia"!
 
check this

P1010843.JPG
 
Mbona eneo jeupe tu na clear kwa overtake,kuna ubaya gani sasa? "mia"!
Hapana Mkuu. Ukiangalia hiyo picha ya kwanza, mbele ya pasi linaloovertake kuna gari jingine meaning magari mawili yanaovertake magari mawili. Hii salama hata kidogo. Na huko mbele ya barabara hatukuoni vema
 
Mbona eneo jeupe tu na clear kwa overtake,kuna ubaya gani sasa? "mia"!

Hiyo picha ya pili ukiitazama vizuri utagundua kuwa ni mabasi mawili yapo kwenye overtaking lane na ni kwenye mteremko ambao mbele ni winuko. Huyu dereva wa basi la nyuma (kati ya mawili yanayoovertake) ndio mpumbavu zaidi. Incase kimetokea kitu hatakuwa na namna ya kujiokoa zaidi ya kuelekeza gari porini
 
Lazima suka awaishe abiria wamechoka kuketi masaburi yanawauma.
 
Hiyo picha ya pili ukiitazama vizuri utagundua kuwa ni mabasi mawili yapo kwenye overtaking lane na ni kwenye mteremko ambao mbele ni winuko. Huyu dereva wa basi la nyuma (kati ya mawili yanayoovertake) ndio mpumbavu zaidi. Incase kimetokea kitu hatakuwa na namna ya kujiokoa zaidi ya kuelekeza gari porini

halafu wapo speed mbaya kiasi kwamba hata gari dogo hufuati. Mia
 
Hiyo picha ya pili ukiitazama vizuri utagundua kuwa ni mabasi mawili yapo kwenye overtaking lane na ni kwenye mteremko ambao mbele ni winuko. Huyu dereva wa basi la nyuma (kati ya mawili yanayoovertake) ndio mpumbavu zaidi. Incase kimetokea kitu hatakuwa na namna ya kujiokoa zaidi ya kuelekeza gari porini

kama jinsi some of the members wanavyoshabikia hapa ndio hivyo hivyo miili ya marehemu walioko makaburini walivyofanya enzi za uhai wao...! hivi kipi bora kati ya kuumwa masaburi na ufike salama au kufa na masaburi yakiwa hayaumi...?
 
hahahaaaa...!!. mia
 
pipiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......!!!!!grruuuuummmmmm......!!!. pipiiiiiiiiii.......!!!
 
ana bahati plate namba ya gari lake halionekani ningemripoti kwa ofisi ya Trafiki kitengo cha kuzuia ajali barabara kwa uzembe wa madereva
 
nakshnaksh tabora na bunda ya musoma hapo hawajabadili leseni wakibadili nafikiri na akili zitabadilika kwa sababu kwa akili za hivyo hawamali miaka 5 bila leseni kufungiwa kabisa.
ka sababu kwa mtindo wa leseni za zamani ndani ya miaka dereva aliyeuwa au kusababisha mauaji kidogo ni watu 20.
 
Back
Top Bottom