Haya mabasi yatatuua yatumalize | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya mabasi yatatuua yatumalize

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Jan 8, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  mia
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hawa madereva unasindwa uwaweke wapi,ni vichaa au ni wavuta bangi?
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0

  Probably both!
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ujumbe umefika na kupokelewa! Si wanataka (POLISI) watu walioenda Veta na NIT-Mabibo wawe na leseni C1,2,3 n.k Haya sasa sijui hiii ni leseni D au F?
   
 5. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nawewe unaonekana ulikua ukilifuata basi kwa jinsi picha inavyo onekana uko upande wa kulia
   
 6. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii naipigia kura kama picha bora ya mwaka. Inaelimsha. Hapo ni wapi? Nimevutiwa na huo msitu. Nijulishe pls
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tukifa itakuwa "Bwana ametwaa" tu, au vipi?
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Madereva wengi wa Tanzania hawajui sheria za barabarani, dereva hajui wapi a overtake, wapi apunguze mwendo na nk. Kwa mtindo huu ajali kwisha hapa Tanganyika ni ndoto
   
 9. M

  MWENDO UGIMBI Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  mambo ya kitonga hayo kama sikose mkuu
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hahaaaa...weka picha tuone ninavyo onekana. hauoni kivuli changu nikiwa nasukuma baskeli? Mia
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  madreva wetu hawajui cha kitonga wala segera, wenyewe ni kukanyaga mafuta tu. Mia
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  lakini ni mara chache sana kusikia gari imepata ajari kitonga. wengi wanapata ajari mikumi hadi mi mwenyewe nashangaa. kwanza mikumi kuna matuta mengi, hapo hapo ndo ajari nyingi zinatokea.hivi kwanini? Mia
   
 13. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii mkuu kuna maeneo mawili.
  1.Eneo la msitu lillilo kushoto kama unakaribia kuingia Morogoro AU
  2.Kama unaanza au kumaliza kitonga
   
 14. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ah Taqwa? zamani yalikuwa yanaitwa Tahfif na yakapigwa marufuku Kenya kwa wingi wa ajali.
   
 15. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nlihudhuria kozi PSV Veta kiukweli hakuna jipya sana ilikuwa ni kozi ya 2wks then upewa gari uendeshe halafu unapewa cheti.
  nafikiri kunahitajika mtaala mpya kwa madereva,maana wengi hasa wa mabasi wlikuwa wakijisifu kwa kukimbia barabarani
   
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  ajali zinatuangamiza watanzania kuliko hata HIV, zinasababisha mamia kuwa vilema kila mwaka na kubakia kuwa tegemezi! Viongozi wetu wanalifumbia macho hili ili waendelee kutoa rambirambi kila siku ili kukuza mtaji wao kisiasa.
   
 17. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,154
  Trophy Points: 280
  Ujanja wao hata Namba za Mabasi yao zikichafuka hawazisafishi....

  Ila hapo Dereva ni Mjanja Sana Keshachungulia kwa umbali zaidi kaona hakuna kitu ndio ameamua ku overtake hii kitu nilishuhudia Sana nilipokuwa nasafiri kwenda School uisema uyafuatishe hayo magari ya mizigo utakesha,

  enzi zile kulikuwa na Fiat unaweza kulia Madereva walikuwa wanasubiri hadi wafike njia iliyonyooka ndipo hupiga overtake..
  Huyu wa Basi la Taqwa naona ujanja wake umezidi
   
 18. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Figganiga. Wewe ndiye uliyeanzisha hii thread na kuleta hii picha nzuri. Nimekuomba unijuze hapo ni wapi?
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hapa ni kwenye kona na anaovertake hizo scania mbili. hii ni hatari. asilimia kubwa ya magari yanayotoka mkua kuja dar yanakuwa hayana mizigo. na hizi scania zinakimbia balaa. angevumilia tu akifika sehemu nzuri ndo akanyagie mafuta. Mia
   
 20. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zege la Kitonga
   
Loading...