Haya mabasi yatatuua yatumalize

hapa ni kwenye kona na anaovertake hizo scania mbili. hii ni hatari. asilimia kubwa ya magari yanayotoka mkua kuja dar yanakuwa hayana mizigo. na hizi scania zinakimbia balaa. angevumilia tu akifika sehemu nzuri ndo akanyagie mafuta. Mia

Mshikaji kapime akili.
Huku Jibu ulicho ulizwa,nani asiye ona hiyo ni kona.
Nimecheka sana.
 
ndo maana naogopaga kupanda haya mabasi bora nipande zangu gogo au zile za angani
 
Figganiga. Wewe ndiye uliyeanzisha hii thread na kuleta hii picha nzuri. Nimekuomba unijuze hapo ni wapi?
mkuu hii picha sikupiga mimi, hii picha ni kwa hisani ya udaku wa nyumbani. so hadi nmuulize kapiga sehemu gani. samahani mkuu. mia
 
Huku Jibu ulicho ulizwa,nani asiye ona hiyo ni kona.
Nimecheka sana.
pumbavu zako, kwani nmekulazimisha kuangalia? kama vipi kula kona tu. halafu ukome kua unaandika upumbavu wako kwenye thread zangu. nyie magam,ba mna matatizo sana. lione kichwa chake.
 
hapa ni kwenye kona na anaovertake hizo scania mbili. hii ni hatari. asilimia kubwa ya magari yanayotoka mkua kuja dar yanakuwa hayana mizigo. na hizi scania zinakimbia balaa. angevumilia tu akifika sehemu nzuri ndo akanyagie mafuta. Mia

Stupidy question-stupidy answer
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi mod nifanyeje ili wapuuzi kama hawa wasiwe wanaziona thread zangu? wananiharibia siku. naomba msaada p;se...!!. Mia

usiwajali hawa wengi hawana mbele wala nyuma stress zinawamaliza hapo walipo wanatafuta pa kutupia takataka zao kwa usiwajali weye endelea na mambo yako humu
 
pumbavu zako, kwani nmekulazimisha kuangalia? kama vipi kula kona tu. halafu ukome kua unaandika upumbavu wako kwenye thread zangu. nyie magam,ba mna matatizo sana. lione kichwa chake.
Umesahau kuandika,mia.
 
Umesahau kuandika,mia.

Mkuu nmekusoma. lakini jirekebishe, yaani uwe unafikiri kabla ya kuandika. usiwe unanilazimisha kukujibu vibaya. mbona hamna baya nilokufanyia hapa jf? sasa unapokuwa unanitukana unapata faida gana. tupendane tusaidiane na kurekebishana kiroho safi. nashangaa kila siku unanipaka mbaya. ndo maana hata vistors msg zako nmezifutilia mbali. jitahidi kuwa na mawazo ya kikubwa. jirekebishe mshikaji au sio? pamoja sana, one love. Mia
 
hawa madereva me nadhani huwa wanavuta bangi kwanza kabla ya kuanza safari.
 
Back
Top Bottom