Haya Mabango yangekuwa Tz yasingedumu hata nusu saa barabarani

Sio kweli nani amekosoa kistaarabu amepata tatizo magazeti kila siku yana vichwa vya habari vya kukosoa hayajafungiwa na yanapewa leseni kila siku yakiongozwa na Tanzania daima? Katuni ngapi zinakosoa serikali zikiwemo zinazomchora zipo hewani kila siku? Facebook kuna mitandao kibao ya kukosoa ikiongozwa na tanzagiza? Mnataka Uhuru wa kukojolea ukuta wa ikulu?
Huko kwenye kukojolea ukuta , mimi sipo
 
Wadau nipo mitaa fulani ya South Africa, Johannesburg nashangaa ninachokutana nacho kwa wiki sasa, nakutana na mabango makubwa ya kisasa (Banners), usiku yanawaka na taa pamoja na Mabango madogo madogo yaliyoandikwa 'Zuma Must Go'

Nikawaza mabango haya yangekuwa nchini kwetu yafuatayo yangetokea
1. Aliyeyaweka angekamatwa
2. Na yasingedumu hata Nusu saa
Nadhani wenzetu Demokrasia wako mbele kutuzidi.
3. Na ukiyaangalia vzr hayo mabango ni ya gharama sana. Yamegharamiwa na makampuni makubwa. Ingekuwa kwetu nadhani hao viongozi wa hayo makampuni wangetajwa kwenye Orodha ya Mkuu fulani

Nilikuwa kwenye daladala nikajaribu kupiga picha moja ya bango dogo, haijatoka vzr sana ila unaweza kusoma kwa mbali hilo Bango la hapo ktkt ya Barabara. View attachment 506841
Nasikia huko kuna mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa wenye kutoa mpaka lita 60 kwa siku. Hebu tupia hayo basi. Haya matabia yao mabaya achana nayo.
Isitoshe kwao rais hachaguliwi na wananchi moja kwa moja bali hutoka chama chenye wabunge wengi. Viongozi wa aina huu hupwaya sana huondolewa madarakani kama chawa au kupe na nchi haishituki kwa kufanya uchaguzi. Rais wetu ni RAIS
 
Ila tuwe wakweli mbona kwenye hiz nchi za wenzetu ambazo zna udhubutu Kuna maendeleo kuliko kwetu... Chek Kenya Nigeria south Africa..
Je umeangalia na zile ambazo tumezizidi kimaendeleo? Halafu Kenya imeendelea siku nyingi tokea enzi za moi Kenya ilikuwa imeizidi tz kiuchumi na kidemokrasia ilikuwa ya chini sana mauaji walikuwa mengi ya viongozi waandamizi akiwemo Joseph ouko.
 
Huko kwenye kukojolea ukuta , mimi sipo
Sasa unaongelea ukosoaji wa namna gani zaidi ya huu uliopo? Bungeni serikali inakosolewa vilivyo magazeti lazima yaandike vichwa vya habari vya ajabu ajabu ndio yauze redio na televisheni haziko nyuma vikatuni vya akina kipanya contents zake asilimia 99.9 ni kukosoa unataka UPI wa ziada?
 
Wadau nipo mitaa fulani ya South Africa, Johannesburg nashangaa ninachokutana nacho kwa wiki sasa, nakutana na mabango makubwa ya kisasa (Banners), usiku yanawaka na taa pamoja na Mabango madogo madogo yaliyoandikwa 'Zuma Must Go'

Nikawaza mabango haya yangekuwa nchini kwetu yafuatayo yangetokea
1. Aliyeyaweka angekamatwa

2. Na yasingedumu hata Nusu saa
Nadhani wenzetu Demokrasia wako mbele kutuzidi.

3. Na ukiyaangalia vzr hayo mabango ni ya gharama sana. Yamegharamiwa na makampuni makubwa. Ingekuwa kwetu nadhani hao viongozi wa hayo makampuni wangetajwa kwenye Orodha ya Mkuu fulani

Nilikuwa kwenye daladala nikajaribu kupiga picha moja ya bango dogo, haijatoka vzr sana ila unaweza kusoma kwa mbali hilo Bango la hapo ktkt ya Barabara.

Kwani zuma alichaguliwa Na mabango? Kiasi kuwa mabango yaweza mwondolea uraisi? Katiba ya afrika kusini inasema raisi aweza ondoka madarakani Kwa mabango? Zuma endelea kupeta hayo mabango ukiyaona angua kicheko tu
 
Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country-Mwl. Nyerere.
Umeelewa point ya mtoa mada? Hapa kinachoelezwa ni Uhuru wa watu kutoa hisia zao na kuvumiliana. Zumma ana nguvu zote za kutoa hayo mabango barabarani lakini kayaacha. Babu kipara afanyiwe hivyo si atanyonga nchi mzima.
 
Ni kitu kimoja hamuelewa, Makaburu wa SA ndio wanamfanyia ZUMA hayo mambo ni vile hawapendi mtu mweusi awaongoze sasa ukiongeza na vituhumu vidogo vidogo vinavyomkumba Zuma wanapata nguvu zaidi.
Hasidi hakosi sababu ya kukutia msambweni Shida sio makaburu kwani Tanzania hakuna makaburu hapa wanalinganisha mabavu na katiba inafuatwa au hukumbukwa wakati kuapishwa baada inarudishwa kabatini tunaongozwa na amri ya mwenyekiti?!.
 
Wadau nipo mitaa fulani ya South Africa, Johannesburg nashangaa ninachokutana nacho kwa wiki sasa, nakutana na mabango makubwa ya kisasa (Banners), usiku yanawaka na taa pamoja na Mabango madogo madogo yaliyoandikwa 'Zuma Must Go'

Nikawaza mabango haya yangekuwa nchini kwetu yafuatayo yangetokea
1. Aliyeyaweka angekamatwa

2. Na yasingedumu hata Nusu saa
Nadhani wenzetu Demokrasia wako mbele kutuzidi.

3. Na ukiyaangalia vzr hayo mabango ni ya gharama sana. Yamegharamiwa na makampuni makubwa. Ingekuwa kwetu nadhani hao viongozi wa hayo makampuni wangetajwa kwenye Orodha ya Mkuu fulani

Nilikuwa kwenye daladala nikajaribu kupiga picha moja ya bango dogo, haijatoka vzr sana ila unaweza kusoma kwa mbali hilo Bango la hapo ktkt ya Barabara.

Wadanganye nyumbu wenzako.
 
Je umeangalia na zile ambazo tumezizidi kimaendeleo? Halafu Kenya imeendelea siku nyingi tokea enzi za moi Kenya ilikuwa imeizidi tz kiuchumi na kidemokrasia ilikuwa ya chini sana mauaji walikuwa mengi ya viongozi waandamizi akiwemo Joseph ouko.
Nchi zipi zenye demokrasia pana tunazizidi kimaendeleo?
 
Je umeangalia na zile ambazo tumezizidi kimaendeleo? Halafu Kenya imeendelea siku nyingi tokea enzi za moi Kenya ilikuwa imeizidi tz kiuchumi na kidemokrasia ilikuwa ya chini sana mauaji walikuwa mengi ya viongozi waandamizi akiwemo Joseph ouko.
Nchi zpi hizo mkuu....
 
Back
Top Bottom