Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,191
Wadau nipo mitaa fulani ya South Africa, Johannesburg nashangaa ninachokutana nacho kwa wiki sasa, nakutana na mabango makubwa ya kisasa (Banners), usiku yanawaka na taa pamoja na Mabango madogo madogo yaliyoandikwa 'Zuma Must Go'
Nikawaza mabango haya yangekuwa nchini kwetu yafuatayo yangetokea
1. Aliyeyaweka angekamatwa
2. Na yasingedumu hata Nusu saa
Nadhani wenzetu Demokrasia wako mbele kutuzidi.
3. Na ukiyaangalia vzr hayo mabango ni ya gharama sana. Yamegharamiwa na makampuni makubwa. Ingekuwa kwetu nadhani hao viongozi wa hayo makampuni wangetajwa kwenye Orodha ya Mkuu fulani
Nilikuwa kwenye daladala nikajaribu kupiga picha moja ya bango dogo, haijatoka vzr sana ila unaweza kusoma kwa mbali hilo Bango la hapo ktkt ya Barabara.
Prof
freedom of expression, wenzetu wako mbali sana ki-democrasia...