Public wapi? Kama vijiweni nakosoa kila siku na vipo vijiwe vingi vina ubishani wa pande mbili za itikadi wanabishana kwa hoja waziwazi kabisa huku tukitumia magazeti mbali mbali kama reference huku tumeyashika sasa unaongelea public gani ya gari la matangazo lenye spika?My point is very clear. Nenda kwenye public na wewe ukakosoe.
Over.