Haya Mabango yangekuwa Tz yasingedumu hata nusu saa barabarani

Wadau nipo mitaa fulani ya South Africa, Johannesburg nashangaa ninachokutana nacho kwa wiki sasa, nakutana na mabango makubwa ya kisasa (Banners), usiku yanawaka na taa pamoja na Mabango madogo madogo yaliyoandikwa 'Zuma Must Go'

Nikawaza mabango haya yangekuwa nchini kwetu yafuatayo yangetokea
1. Aliyeyaweka angekamatwa
2. Na yasingedumu hata Nusu saa
Nadhani wenzetu Demokrasia wako mbele kutuzidi.
3. Na ukiyaangalia vzr hayo mabango ni ya gharama sana. Yamegharamiwa na makampuni makubwa. Ingekuwa kwetu nadhani hao viongozi wa hayo makampuni wangetajwa kwenye Orodha ya Mkuu fulani

Nilikuwa kwenye daladala nikajaribu kupiga picha moja ya bango dogo, haijatoka vzr sana ila unaweza kusoma kwa mbali hilo Bango la hapo ktkt ya Barabara. View attachment 506841
South ni south na Tanzania ni Tanzania Over!
 
Ni kitu kimoja hamuelewa, Makaburu wa SA ndio wanamfanyia ZUMA hayo mambo ni vile hawapendi mtu mweusi awaongoze sasa ukiongeza na vituhumu vidogo vidogo vinavyomkumba Zuma wanapata nguvu zaidi.
 
In Tanzania , we have a freedom of speech, but freedom after speech is not guaranteed.
Uhuru wa kuongea sana Tanzania bali hakuna Uhuru wa kutukana ambao hata kwa utamaduni wetu sio rafiki na umeanza kukemewa siku nyingi kumbuka hata mwinyi alivyochorwa na punch chuo kikuu chuo kilifungwa. South Africa kuna muandishi alimchora Zuma dhakari umesimama jumuia nyingi za haki ya binadamu zilimshutumu mchoraji yule akaomba radhi Je hiyo ni demokrasia?
 
Afrika kusini Raisi hapigiwi kura na wananchi bali na Chama chake hivyo uchungu wao ni tofauti Sana na Tanzania, kila nchi na siasa zake na tamaduni zake, Hapa kwetu ukifanya hivyo unajenga chuki Kali Sana kwani hatujapitia siasa za ubaguzi kama wao
Ni vizuri tuwe wakweli, sisi bado ni 'primitive' katika siasa za kidemokrasia na viongozi wetu walio madarakani ndio kabisa mikia ya zama dam haijawakatika licha ya kwamba wamekanyaga madarasani, bado wako kama ng'ombe waliopita katika josho lenye maji yasiyo na dawa, kupe wamebaki pale pale!!!
 
And what did he do to develop it?
You can read an article from The Citizen.

LINK>>Nyerere's role in driving changes

As Prof Nyirabu put it in his paper, in February 1990, Nyerere, the architect of one-party rule, made an acrobatic U-turn and proclaimed that it was no longer treasonable to discuss the introduction of multi-party politics. He stated that Tanzania, like the rest of the world, would be affected by the democratic changes sweeping across the globe and thus he advised his party and government to be primed for the changes.

In February 22, 1990 Nyerere told Daily News that “When you see your neighbour being shaved, wet your head to avoid a dry shave. The one party is not Tanzania’s ideology and having one party is not God’s will. One-party has its own limitations.”

By that time Mwalimu Nyerere was aware that the change was inevitable and acted quickly to avoid chaotic transitions as it was happening in other places.

He again told Daily News in February 1992 that, “CCM can and should welcome the opportunity to give a lead in yet another major peaceful political transition in our country. We have an opportunity to ensure that this change happens democratically under rules to provide for genuine democracy. This is a moment when Tanzania under CCM can choose to change and oversee that change, rather than be made to change.”

Mwalimu Nyerere’s open support for multiparty made other activists to come out and join him to challenge the establishment. An independent National Steering Committee composed of academics, lawyers, students and political activists was formed launched a National Committee for Constitutional Reform (NCCR) to spearhead demands for a constitutional conference
 
Sijaona ubaguzi kwenye hili bandiko wala hiyo picha. Naomba unionyeshe huo ubaguzi.
Ingekuwa kwa tamaduni za nchi zingine baadhi kwa uchaguzi uliopita Tanzania ingeundwa serikali ya mseto ili lile kundi la People's power watu wake wapunguze hasira, Mabango mengi Afrika kusini ni Siasa za vyama vyenyewe na hata maandamano yao mara nyingi yanabeba itikadi za kivyama zaidi na utawala uliopo, Hapa kwetu watu wengi Siasa za kivyama na itikadi tunalazimishwa tu watanzania wengi wanaangalia Amani Sana ndio maana Tukishaandamana familia zetu zikiguswa kwa vifo na vilema tunakaa tunaogopa Sana, Watawala wanajua wakiendekeza upuuzi huu hapa kwetu italeta shida Baadae, Bora wachache waumie nchi ibaki salama
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom