HAYA MA-T-shirts na maneno duh...

HAYA MA-T-shirts na maneno duh...

umenikumbusha leo nimekutana zumbumkuku ktk mishemishe kavaa t-shrit yenye picha ya mbunge mmoja hivi imeshapoteza rang yake ilikua ya kijani lakini sasa ni ya udogo na matobo matobo nikamuuliza vip? Huyo kwenye hiyo picha hajakupa sabuni? Halafu si ukamwambie t-shrit imechakaa? Akajibu najuta nimekoma enzi zile za kampen alikua ana2tambua na ku2saidia lakini sasa akikutana na sisi ana22kana nikamwambia eheee! ndo mkome! Akaanz kulia

Baadhi walizipokea na kuzivaa hizi Tshirt sio kwa sababu ya ushabiki, bali kwa umasikini. Aache Tshirt ya bure!
 
Jamaa anakitambii kikubwaaa. Tshirt imeandikwa: This is not a beer belly but MY FUEL TANK FOR THE LOVE MACHINE!
 
"MY PEN IS HUGE"
mh!ona hiyo nayo nilimkuta mtu kaitinga ukiangalia haraka haraka unaweza ona iko poa tu
 
FRONT "You know how to make a fool busy? Look at the back"

BACK "You know how to make a fool busy? Look at the front"
 
FRONT "You know how to make a fool busy? Look at the back"

BACK "You know how to make a fool busy? Look at the front"

ee bwana its very funny ,kwa wale wambeya wanaosoma ma-tshirt ya watu watabaki wanaumia shingo mana atasoma mbele atataka kusoma nyuma then anakuta ujumbe uleule ,teh teh teh teh
 
nimekutana na msela kavaa lake eti "happiness starts here"na kamshale kanaelekea ktk sexual organs,lol..
 
Mimi shida yangu ni kwa hawa wavaa kata k.u.n.d.u, maana hata wasichana nao wameanza kuvaa kata K, inaudhi sana!, halafu hilo lich.u.pi. linakuwa na maandishi sijui "TMK"
 
Kuna jamaa mmoja ya kwake ilikuwa imeandikwa "I AM AN IDIOT, NO NEED TO PROVE IT".
 
naikumbuka SIX MILLION DOLLAR MAN.. ya zaaaamaani
 
Keep One Rolled kuna rasta mmoja huku kwetu anapenda sana kuivaa.
 
Halafu majitu mengine yanatinga nazo kwa kanisa, pambafu kabisa
 
-If you think been a fireman is tough try to be fireman's wife".
-When you hear the glass know its your a@*s
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom