HAYA MA-T-shirts na maneno duh...

Chagua CCM, Chagua Kikwete

hii ni moja ya zile wanazovaa wale mazumbukuku:mullet: pamoja na kapero zake.

sasa hivi hawana hata sabuni ya kufulia hizo Tshirt maana walidhani hayo ndio maisha bora, sasa yamekuwa bora maisha!:mullet:
 
-born intelligent bt tz ruined me
-utu si ubinamu
-dunia ya Mungu mali za mzungu
-am a bus driver
-i am marching-guy

:jamani huwa nacheka sana hadi nalia mwenyewe ,kwani kuna watu wanavaa t-shirts bila kujua mana yake au ni kujisitiri tu.
 
Hii thread pamoja na zile za misemo ktk magari na ile inayohusu signatures za wana JF zinafurahisha sana.
 
Hii thread pamoja na zile za misemo ktk magari na ile inayohusu signatures za wana JF zinafurahisha sana.

nadhani ingependeza kama ingekuwa ktk title moja mana hayo maneno yanatumika ktk maeneo mengi kweli au sio bwana mkuu
 
Jamani waungwana hivi wa-tz tunavaa ma-t-shirts bila kujua maana za maneno yaliyoandikwa ama ni kuvaa tu bila kujua,hebu ona baadhi ya maneno ktk ma-tshirts ya vijana niliyokutana nayo :-

-Don'T look at my tshirt ,your girlfriend gave me
-I am a gay ,look at my ass
-Look at me ,i look at bee
-Stupid person wear this t-shirt
-Am a virgin not yet touched
-Usiponipenda mimi ,inama halafu jamba
-sukuma mavi .

Eti wana-jf kwa mliyokutana na maneno mengne ktk t-shirts tuyaweke jamvini....
fashions nyingine sio kabisa!!!!
 
This was written on the chest of one girl's T-shirt!
"HEY PAL MY FACE IS UP THERE." nilishindwa kuvumilia ikabidi nicheke.
Nyingine alikua kavaa dada mmoja ilikua imeandikwa kifuani."LOOK WHAT MY MAMA GAVE ME." alipopita nikamtizama nyuma nikaona tena imeandikwa. "COULDN'T RESIST,COULD YOU?"makubwa
 
hii ni moja ya zile wanazovaa wale mazumbukuku:mullet: pamoja na kapero zake.

sasa hivi hawana hata sabuni ya kufulia hizo Tshirt maana walidhani hayo ndio maisha bora, sasa yamekuwa bora maisha!:mullet:

umenikumbusha leo nimekutana zumbumkuku ktk mishemishe kavaa t-shrit yenye picha ya mbunge mmoja hivi imeshapoteza rang yake ilikua ya kijani lakini sasa ni ya udogo na matobo matobo nikamuuliza vip? Huyo kwenye hiyo picha hajakupa sabuni? Halafu si ukamwambie t-shrit imechakaa? Akajibu najuta nimekoma enzi zile za kampen alikua ana2tambua na ku2saidia lakini sasa akikutana na sisi ana22kana nikamwambia eheee! ndo mkome! Akaanz kulia
 
angalia uhusiano wa t-shirt na suruali yake.... T-shirt inaweza ikawa mpya ila suruali unaweza kulia kwa furaha maana huwa zmechoka.....
 
Don't hate me hate ma swag...

Jembe ulaya....

Bifu sio ishu ila ukianzisha tutaendeleza......

Hapa msuli mbu matokeo tembo....

Wamenipiga sema kwa shida....
 
Don't hate me hate ma swag...

Jembe ulaya....

Bifu sio ishu ila ukianzisha tutaendeleza......

Hapa msuli mbu matokeo tembo....

Wamenipiga sema kwa shida....

Teh teh teh,unanikumbusha kipindi nasoma pale udsm ,kuna watu walikuwa na msuli tembo matokeo sisimizi yani gpa 2 ,
 
-my lord my savior
-vodacom tanzania
-watoto wa kitaa tuache tutambe
 
-Poke me
-Your sister says i'm handsome.
-Yo mom likes me.
Nimepishana na msukuma troly kavaa imeandikwa.
-It's Ok to be jealous not everyone can be me.
 
UNDER CONSTRUCTION halafu mshale unanyesha chini T shirt imevaliwa na ndume
 
Back
Top Bottom