HAYA MA-T-shirts na maneno duh...

HAYA MA-T-shirts na maneno duh...

nimemwona mmachinga akiwa kavaa t-shirt imeandikwa

-look at me,i work in mortuary
 
Kuna hiyo moja iliandikwa, What ever you look at me, I know im HOT mpaka leo ninayo
 
''am your dad''
"kiss my ass''
''am streat dreams''
 
Wise fools dad...yani nimemcheka huyu mtu hadi nimelia
 
Jamani waungwana hivi wa-tz tunavaa ma-t-shirts bila kujua maana za maneno yaliyoandikwa ama ni kuvaa tu bila kujua,hebu ona baadhi ya maneno ktk ma-tshirts ya vijana niliyokutana nayo :-



-Don'T look at my tshirt ,your girlfriend gave me
-I am a gay ,look at my ass
-Look at me ,i look at bee
-Stupid person wear this t-shirt
-Am a virgin not yet touched
-Usiponipenda mimi ,inama halafu jamba
-sukuma mavi .



Eti wana-jf kwa mliyokutana na maneno mengne ktk t-shirts tuyaweke jamvini....

Wana JF hilo lenye rangi ya kijani mnaelewa ana maana gani??? Nilivyoelewa ni kwamba aliyevaa Tshirt hiyo anahitaji majambos....
 
leo nimeliona moja: Hold my drink i want to kiss your girlfriend
 
Nliona mdada kavaa " I ONLY SLEEP WITH THE BEST"
Nilimwangalia kwa mshangao..akaniambie....YES... ITS TRUE..i only sleep with the best!
 
Have Milk?

Afu nguo ya hivi unakuta kavaa mdada mwenye kifua cha kujaaliwa.
 
Nilishaipenda moja alikuwa amevaa mrembo mmoja chuo kimoja cha hapa mjini inasema 'I am too pretty to do math'.
 
Hasira hasara

**** terrorist

vodacom m-pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom