mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
Wale wanachama wote wa CHAWAPUTA mnatangaziwa kikao kesho jumapili muda na mahali ni kule kule kwa siku zote...mada ni kupokea wanachama wapya, kupata updates za sabuni mpya na bomba kwa haya masuala yetu, na kuchagua viongozi wapya...wote mnaombwa kuhudhuria...imetolewa na katibu mkuu wa chama