Haya hapa Mambo Ambayo yanaweza kuharibu maisha Yako yote na jinsi ya kuyaepuka

Haya hapa Mambo Ambayo yanaweza kuharibu maisha Yako yote na jinsi ya kuyaepuka

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote.

Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka.

01.Ulevi wowote uliokithiri(addiction) pombe, madawa ya kulevya sigara nk vinaweza kuharibu afya Yako, heshima Yako, malengo Yako na kipato Chako.
Jinsi ya kuepuka mambo haya ni kuzuia PPT

a) people * epuka watu wenye ulevi wowte
b)place*usiende maneno yenye ulevi au addiction yoyote
c) Things*usitumie vitu Vyenye addiction yoyote

02.Kupatikana na hatia na kwenda jera.
Kama una miaka 30 ukienda jera miaka 15 au 20 ukitoka psychologically you are not going to be okay....kiuchumi pia unaenda kudharirika.

Jinsi ya kuepuka ni
a)Epuka makundi mitaani
b)Jitahidi kumentain temper hasira nk
c) Jitahidi kufuta Sheria za nchi na uwe raia mwema
d) epuka ushiriki wa siasa moja kwa moja

03.Ulemavu wowote wa kudumu.
Hapa sababu zipo nyingi ila naomba kwa pamoja tumuombe Mungu atuepushe na mithiani hii, kwa kijitahidi kutoa sadaka kutenda mema na kumuomba Mungu atupeshe..
Sababu zipo nyingi kama kutozingatia alama barabarani, matumizi ya simu barabarani, haraka zisizo na muhimu nk kikubwa tumuombe Mungu.

04.Magonjwa ya aibu kama ukimwi nk.
Epuka sana magonjwa haya yanaweza kuharibu dira ya maisha Yako yote.

Ahsante kesho nitaendelea
Karibuni
 
Kumbe kuna magonjwa ya aibu!? 😀😀😀
Ndio magonjwa ya aibu ni kama mtu mwenye mke kupata kaswende kisonono.

Au mwanaume kupata kansa ya mkundu baada ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
 
Ndio magonjwa ya aibu ni kama mtu mwenye mke kupata kaswende kisonono.

Au mwanaume kupata kansa ya mkundu baada ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
bawasiri je ni ugonjwa wa aibu
aibu ni nini?
 
Back
Top Bottom