Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,773
- 3,160
siku balali akirudishwa apa nchini sijui uyu meena atajificha wapi aisee
Tusiingize siasa kwenye mambo muhimu ya nchi,Yaani gavana wa benki ya nchi,uchadema,uccm tuuache pls ili jambo tulijadili kama watanzania huru (free minded)Ukisoma habari kwa kina then utagundua kitu between the line
:wof:
Hata mleta uzi walengwa wake ni watu kama wewe.
Kwa utata wa tukio zima ulivyo kulikuwa na haja gani muandishi mzima kufunga safari yote hiyo na kurudi na ushahidi hafifu kiasi hicho ?
Kama alifunga safari kwa nia njema na kukosa ushahidi unaoridhisha watanzania (kuondoa wewe na wenzako wachache) kulikuwa na sababu gani ya kuja na hiyo habari, si angekaa kimya tu...na hakuna ambaye angemuuliza.
Iko hivi, mwandishi kaeleza kwamba hilo kaburi liko mstari wa mwisho kabisa; ndiyo maana hakuna makaburi mengine yanayoonekana beyond makaburi yalio mstari wa Ballali.
Unaweza kusema, sasa ni kwa nini asipige picha kutoka upande ule mwingine, ili makaburi mengine yaonekane .... jibu ni kwamba makaburi mengi huwa yanaandikwa upande mmoja tu, hivyo kwamba kama angepiga upande wa pili hakungekuwa na maelezo ya kwamba kaburi ni la Ballali.
Na sababu ya kutoliona hilo kaburi siku mbili za kwanza, ni kwa sababu ya ukubwa wa eneo lenyewe na wingi wa makaburi; halafu bear in mind kwamba haya makaburi hayazikwi kwa kujipanga kama bongo .... kwamba leo wanazika hapa; kesho wanaendelea pale etc ... to the extent unaweza kujua kaburi la marehemu liko wapi kama unajua lini alizikwa. Marekani ni tofauti; watu wananunua sehemu za maziko, na ndiko wanakozikwa .. so unaweza kukuta mtu kazikwa jana, na pembeni yake kuna kaburi la miaka 20 iliyopita!
Kwa hiyo ni vigumu sana kulitafuta na kulipata kaburi la mtu kwa kuzunguka tu pale makaburi, kwa kubahatisha! Wale jamaa wa makaburi wanakua na ramani ya makaburi yote .. so ukiwauliza wanakuelekeza vizuri!
I hope umeelewa sasa.
Mwandishi katuletea ushahidi japo wa picha,wale wenye ushahidi mwingine nao watuletee tuone huo uhai wake,acheni majungu
huna logic hapo mkuu! kifo ya balali ni usanii wa wakati ule labda afe sasa!
MziziMkavu kachemka mbaya! au na yeye ni mnufaika wa EPAGATE?Mkuu maendeleo yapi unayozungumzia? Yaan mkuu wa kaya adanganye kisa alete story sebulen wakat wa chakula et kafa!! Sasa watt c wanamuulza, Bba kwa nn usimlete huku tukamzika? Anajib ooo unajua n siri,ooo cjui gharama... Halafu anatangaza hakuna matanga!!! Hv kweli ukiwa kwenye hyo kaya usiulize?
Haya maendeleo yakutokuhoji n yapi?
Yaan kwa akili za kawaida mtu asafr mpaka usa halafu aje na ushahidi picha la kabur!! Kweliii huyu ni mwandishi au ni mwandani? Au kapewa pesa ili ale akitumia mwanya wa gazet linaloaminika sana?
Ni maendeleo gan ya kutufanya cc watanzania kuwa kichwa cha mwendawazim? Watu wanaanzisha scandal ili kusahau ajenda mhim za nchi? Mfn mdogo n wa makamba et nae anataka kuwa rais! Duh jaman jaman tena ili kukoreza na RAIS nae anacoment ili wtz tusahau mambo ya mhim tujadili upuuzi,
Hatujakaa sawa huyu nae analeta uchunguzi wa kipuuz kweli et balal kafa na picha ya kabur, aseee jaman n lin mtaacha kuwa waongo?
Binafc namuamin sana tido ckutegemea angeruhusu upuuz huu uandikwe kwenye kazeti analoliongoza, nataman akanushe habar hii!
Mkuu ukisema maendeleo n pamoja na kuhoji mambo c kukaa kimya!
Ushaur kwa vyombo vya habar achen kuhamishwa na viongozi kwa story(scandal) za kuunda bakini njia KUU.
Halafu muulize kitu kimoja Kuwa 2008 hakuna marehemu wengine waliokufa wakazikwa karibu na balali ?
Mwananchi ni moja kati ya gazeti ninaloliamini lakini kwa habari hii naanza kufikiri upya!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu umenena vema na ushahidi usio na shaka.
Kwenye web hakuna jina,
Kwanzia leo sitosoma tena gazeti la Mwananchi, linatumika ki propoganda zaid.
Kila siku eti mahojiano maalum, mara Ridhiwan mara Lowassa kumbe hawana lolote makanjanja tupu.
Wanaweka picha edited, na jina wanakosea coz Balali hata kwenye pesa hana double ll yaani siyo "Ballali" kama picha inavyoonyesha.
Wazushi wameshindwa..