mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
Wahaya ndio kila kitu wengine mnajikongoja.Acha kabisa.Aione kyanaKyoMuhaya ,ekibira_ishengo
Labda wajaluo....
Huyo mtaalamu amesema kweli kabisa. Nipo Kaisho na watoto tunakula sana senene na matunda adimu yaitwayo amashaza achilia mbali ndizi kwa wingi zilizochanganywa na vitu vya asili vingi ikiwemo entura! Naona matokeo chanya hapa kama anavyosema mtaalamu ...🤣🤣
Ni ajabu, tunapowasifu mfano wazungu, unaona akiliza zao zimesaidia nchi zao na hata mataifa mengine.Akili yao imesaidia vipi taifa na jamii kwa ujumla,? Maana tupo nao huku street hatuoni hizo akili walizonazo
Wana kiwanda cha katereroNi ajabu, tunapowasifu mfano wazungu, unaona akiliza zao zimesaidia nchi zao na hata mataifa mengine.
Sasa kabila hili kama lina akili na lipo Tanzania tu, basi Tanzania tungenufaika sana na hawa watu, na tungewapiga gepu mataifa mengi ya Afrika.
Sasa hawa wahaya hata kiwanda cha baiskeli hawana.
Kwa iyo hata Maxence Mello Mubyazi muanzilishi wa Jamii Forum umkubali,Kama aliyetoa hayo maoni ni mhaya then sioni kama Kuna haja ya kuumiza kichwa bali kumpuuza tu! Pride is the mother of arrogance!! Ni mhaya gani kafanya lolote ambalo unaweza sema kwamba,"Huyu mtu kichwa!". Kugundua katerero au?
Kuna kipi sasa kinachotafsiri akili kubwa hapa Jf? Una reasoning ya kitoto Sana mbona!!Kwa iyo hata Maxence Mello Mubyazi muanzilishi wa Jamii Forum umkubali,
Basi wewe nimbishi, unaweza bishana hata na Radio
Akili yao imesaidia vipi taifa na jamii kwa ujumla,? Maana tupo nao huku street hatuoni hizo akili walizonazo
Hapana ila ni watu wabishi sana yani niwa bishi balaa hasa kama wanahisi hicho kitu wanakijua we umekosea.Juzi kati nilikuwa natazama kipindi kimoja kinarushwa ITV kinaitwa "MEZA HURU". Mada ya kipindi hiki ilihusu UBONGO na walimualika mtaalam mmoja ambaye ni daktari bingwa wa masula ya ubongo kutoka Muhimbili.
Huyu mtaalam kwa kabila ni Muhaya.
Mwisho wa kipindi mtangazaji alimuuliza kuwa inasemekana wahaya ndio kabila lenye akili sana Tanzania, je, ni kweli?
Mataalamu yule alijibu ni kweli kabisa na akatoa sababu tatu,
KWANZA, akasema Wahaya wanaishi kando ya ziwa victoria na hivyo wanakula samaki sana ambazo zinawaongezea sana uwezo wa akili.
.
Hizo ni akili gani zisizoonekana banaaa? Wenye akili wanaonekana sehemu yoyote hata huku mtaani au mashuleni mbona wapo kawaida tu kama sie?Akili na uzalendo sijui misaada vitu viwili tofauti kabisa.Hapa ndo tunapoanzia kuona kwamba huko kwenu kuna tatizo hata la kuchanganua jambo dogo kama hili.