instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,383
- 14,197
Wahaya hata kabla ya kuja kwa elimu hii ya mkoloni..ni watu wenye akili sana tena hii nchi ndo imewachelewesha, wangekuwa mbali mno..Mmecomment vizuri, ila sijaona akisema waliisaidiaje Tanzania pamoja na usomi huo. Waligundua nini au legacy walioiacha TZ. Akiachilia mbali tabia hii ya kikabila na kutaka kujitenga na waTZ wengine kuwa wao nibora uliko wote hakuna cha msingi mtoa mada amekisema kinachoweza kuwasaidia WaTZ katika andiko lake.
Wahaya ni moja ya makabila ya mwanzo ulimwenguni kugundua ufuaji wa vyuma...tazama hii video chini..
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app