JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,594
- 1,384
Mkuu mimi nakutest tu nipate concept zako..Poleni sana kwa uelewa finyu wa mambo. Yaani wewe na akili zako unaongea bila aibu kuwa, Wajapani walianza ku-industrialise mapema - inamaana hivyo viwanda vilijirusha kutoka mbinguni na kuangukia Kumamoto, Yamaguchi, Yokohama, Hiroshima, Sapporo na Osaka?
Msitufanye mazwazwa, mshindwe tu wenyewe halafu mnakimbilia kulaumu wengine.
Mmekuwa mkidai kuwa, baadhi ya makabila yalipendelewa kielimu: Dar es Salaam ni jiji tangu wakati wa uhuru na kuna shule nyingi kibao, mbona hatuoni Wazaramo na Wakwere huko elimu ya juu na badala yake tumezoea kuona jamii ambazo mpaka kufikia mwaka 1990, Wilaya nzima hakukuwepo sekondari lakini imekuwa ikitoa vijana smart wanaokimbiza kielimu?
Sasa mkuu watu wanathamini kucheza Ngoma,kuchunga Mbuzi na Ngombe Nyikani na sio Ranchi unafikiri atafahamu umuhimu wa elimu? Nyie Wahaya ndugu zenu washaenda ulaya sababu ya Elimu wanarudi wananunua Ma VX wanajenga Nyumba safi wewe unafikiri utawaza nini zaidi ya Elimu? Ulishajiuliza ata maudhui ya miondoko ya Pwani na athari zake katika Malezi? Naamini wewe ni Muelewa ifike mahali mjifunze kusaidia baadhi ya Makabila bado yana Tamaduni za kijinga.Ujinga mkubwa ni pale fursa inaletwa katika jamii na jamii I nashindwa kuitumia