valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,851
- 869
Umenigusa mkuu 100% yalitokea kwangu ingawa sasa afadhali nina Kamsimamo
yaani si msimamo kamili ni KAMSIMAMO............ Naapa yaani ni hivyo hivyo
imeniathiri mpaka sitamani tena kuoa!
Wewe ndio umejichanganyaRudi kajipange upya, essay yako umeichanganya!
Rudi kajipange upya, essay yako umeichanganya!
Habari zenu wana MMU, Siku hizi kumekuwa na msemo kwa wasichana wengi kuwa hawezi olewa na mtu ambaye hana MSIMAMO WA MAISHA.
Hii imekuwa kama kaugonjwa kapya ka wasichana kukimbilia wanaume wenye kipato cha juu, na huwabwaga maboifrend au wachumba zao wenye kipato dhaifu kwa kusema HAWANA MSIMAMO WA MAISHA.
Nimeona wanaume wengi wakimwaga na kisingizio ni msimamo wa maisha.
Ukiwauliza wasichana msimamo wa maisha wanao usema ni upi? Watakwambia, nataka mwanaume wa kunioa awe na KAZI NZURI, awe na NYUMBA na awe na GARI.
Hivi kama huna KAZI NZURI, GARI na NYUMBA tunasema huna msimamo wa maisha?
Wasichana wengi sana wamekuwa hawana mapenzi ya kweli bali wanatafuta maslahi. Ukiwauliza mwanaume wa kukuoa unataka awe na SIFA zipi, ntaanza na kukwambia, awe na msimamo wa maisha, na anipende na kunijali.
Leo unakuwa na mwalimu, unaona hana msimamo wa maisha kwa sababu umetongozwa na daktari, na daktari nae unamwacha ukikutana na mhasibu. Jipangeni sawa sawa, msitukatae eti sababu umepata mwenye gari, nyumba na kipato cha juu. Nimewasilisha....!!
Hawa viumbe michosho tu pasua vichwa
Fafanua Mkuu, mi sijaelewa."Valid statement" kweli statement zako ziko valid.. basi kama yamekukuta hayo yako valid kwako pole.. kuachwa kunauma..!!.. nenda mikumi.. wao hawajali cha daktari wala mwalimu.. unajichotea tu.. tena ukisema wewe dereva basi utajaza fuso...
Mahaba,,,,mahaba hayoooo...pole mdau
wanasema Msimamo!Msimamo wa maisha au mwelekeo wa maisha?
Mwanamke akikupenda ni balaaHata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda kwanza kuliko mwanamke aliye kupenda kwanzaLast edited by tabutupu; Today at 09:57.
HII THREAD MLIVOICHANGIA WANAUME NASHINDWA KUWAELEWA MNATAKA NINI? MKIPENDWA MAKELELE WATU WAKICHUNGULIA WALET MAYOWE VP?
USHAMBA TU WA MAPENZI UNAWASUMBUA
Msimamo wa maisha au mwelekeo wa maisha?