Hawezi kunioa kwasababu hana "MSIMAMO WA MAISHA"

Mim bado nipo sana 2! Msimamo ninao mwelekeo ninao.. Ila m2 akileta maigizo nami namletea usanii vile vile... Mtu unatakiwa kuwa mguu ndani na nje pia.
Kwa hiyo unaishi kimgongo mgongo yaani full usanii, ukimwaga mboga namwaga ugali. Hii ni asili ya maisha ya kisasi endapo utagundua umesalitiwa badala ya kusamehe.
 
Kweli? Hebu jaribu uone, njoo ufue nguo na majani ya mpapai kama ndio sabuni huku unapiga mswaki na mkaa kama ndio toothpaste. Asubuhi unawahi kuamka saa 11 kasoro kwenda kisimani kilomita 3 toka home, kusafisha nyumba na kusafisha watoto 4 tulionao ambao wote wako primary mkubwa darasa la 5 na mdogo la 3, kisha unawahi shamba fasta, saa ya kurudi shamba unakuja na mzigo wa kuni na kisamvu unakitwanga unapika ugali ndio tunakula na tukienda kulala haki yangu kama kawaida......., hamna maswali wala umechoka sijui nini
So long as wewe utakuwepo itakua ni dream life kwangu
 
Wahasibu mnawaonea jamani! Hivi kuwa mhasibu ni ishara ya kuwa na fedha? Kuhusu hilo la kina dada msiwaonee, hata wanaume siku hizi hawaoi wanawake bali wanaoa kilicho ndani ya wanawake. Mtazamo wa kimapenzi umebadilika sana tofauti na zamani. Wanawake nao hawataki wanaume wenye kipato cha chini na wanaume nao hawataki wanawake wasio na kipato hivyo mimi naon hapo pana conflict of interest.

Mhasibu nimetumia tu kama mfano, sina maana kuwa wao wana fedha zaidi,,, kwa hiyo tukubali kuwa wanawake hawana tena MAPENZI YA KWELI, bali wanaangalia mahali pa kuganga njaa?
Kweli kama ndio hivi, NDOA ziko chache sana, wengi watakuwa waigizaji tu.
 
Mim bado nipo sana 2! Msimamo ninao mwelekeo ninao.. Ila m2 akileta maigizo nami namletea usanii vile vile... Mtu unatakiwa kuwa mguu ndani na nje pia.

we we lutamyo unaongea as if unamkomoa mtu ...fanya maamuzi
wewe ni mwanume kati ya wale tunoowaita hawana msimamo kumbuka kuwa na msimamo si pesa ni akili kumkichwa
sasa mguunje ndani unamkalia nani kama si kudumaza maisha yako mwenyewe..lol
 
mahusianao yoyte ya dhati ya mapenzi lazima yawe na misingi yake katika mapenzi yenyewe.
bila hivyo hata mtu angekua ni billionea, influential, firm, positively known to
every single person in this worlld, kama hampendani kweli ni kazi buretu.

hao wanawake wanaosema hivy either hawajakua, hawaui mantiki ya mapenzi (they cant ake sense of love),
au wana interest tofauti na mapenzi. so ukikutana nae wa namna hiyo wala usijadili just mwache subiri mwingine.
 
Msimamo wa maisha au mwelekeo wa maisha?

leo hii kwa sababu vijana ndio waoaji wanalalamika lakini kesho hao hao vijana wakiwa wababa na mabinti zao wakitaka kuolewa wakileta mtu hohehahe utaona baba anakasirika anataka mwanae alete mtu wa maana so sio kwa wanawake tu hata kwa jamii nzima inahusika. hakuna mtu anayetaka mtoto wake aolewe na hohehahe. habari ndio hiyo.
 
leo hii kwa sababu vijana ndio waoaji wanalalamika lakini kesho hao hao vijana wakiwa wababa na mabinti zao wakitaka kuolewa wakileta mtu hohehahe utaona baba anakasirika anataka mwanae alete mtu wa maana so sio kwa wanawake tu hata kwa jamii nzima inahusika. hakuna mtu anayetaka mtoto wake aolewe na hohehahe. habari ndio hiyo.

hohehahe ni nani? Si binti kampenda mwenyewe? Ukikuta binti kapenda mtu kama alivo, basi ana Mapenzi ya kweli.
 
Back
Top Bottom