Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 613
Du kwenye Avatar una sura nzuri kweli tuje unachoandika sasa kama Uji wa ngozi ya kukuHicho ni kikundi cha magaid, yaani wanafanya mchezo wao, wanaandaa watu wa kupiga picha, wanaandaa sehemu ya matibabu.
UPUMBAVU WA MUNGU NI ZAIDI YA HEKIMA YA MWANADAMU....IPO SIKU MUNGU ATATUHURUMIA KWA MUUA GORIATI(MOTOCHINI(Sikuzote wapuuzi niwakupuuzwa tu
Ningelikuwa mbunge nisingeli kubari hata senti yangu ikatwe kisa Lisu!!
Upuuzi mtupu
Angalieni msije gawa taifa tu kwa maswali kama hayo.Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Nafkr ubongo wako umejaa kamasi tuuHicho ni kikundi cha magaid, yaani wanafanya mchezo wao, wanaandaa watu wa kupiga picha, wanaandaa sehemu ya matibabu.
MWENZIO KASHAKAMATWA ARUSHA HUKO BADO WEWEMimi binafsi sijali vyovyote sawa tu, nina matatizo yangu kibao kuweza kujali kama amekufa au la!
Hawajalalamika ila wamesema ubalozi hawajatoa ushirikiano,kuna tofauti kati ya kusema na kulalamikaChadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
CCM inahusika vp kwenye andiko langu? Au unawashwa jioni jioni?
Kamuulize kamanda wa polisi wa Arusha aliyemkamata AbuuKwa hiyo ni lazima kuwa na huzuni na Tundu Lisu? Usipokuwa na huzuni unapaswa kukamatwa?
Naamini CDM hofu yao haikuwa madaktari wa Bongo,ila kitendo cha kumlalamikia balozi kuwa hakutoa ushirikiano nadhani hawakupaswa kukiongelea .Wala hawakupaswa kujishughulisha Na balozi.Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Kama vile mdomo ulivo mponza kamanda lissuMkuu punguza mdomo utakuja kutenganishwa na familia yako, mfano leo polisi wakutafute then wakuulize ilikuaje utasema nini, jitahidi kupima mambo kwa mizani pasipo kueka uchama ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
waachie watu lugha yao kisha uwakumbushe hao wanaojificha nyuma ya kivuli chao kuwa kivuli kimeshahamaWhen fools are encouraged each other
Chadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
VYOVOTE ULIVYO LAKINI KUMBUKA WEWE NI MWANADAMU NA KWA VYOVYOTE MAVUMBINI UTARUDI,Hata kama una amani leo kesho inaweza kutoweka ,hata kama una afya leo kesho unaweza kupata kansa na ukaondoka.Na MUOMBA MUNGU AWEPE ROHO YA UTU NDANI MWENU NA HATA MPATE KUTAMBUA KUWA DHAMBI YA KUMWAGA DAMU NI LAANA KUBWA KWA VIZAZI VYENU HATA KAMA MNAKILA KITU MAISHANI LAKINI MTATESEKA.Nina roho mbaya klk hata Shetani!
Wew ndie unatia kinyaa nini maana ya kuto amini hospital ya Taifa na huo ubalozi bado ni wawakilishi wa serikaliMnatia kinyaa
kwa hio hizo balozi zetu zipo wa ajili ya CCM tu???
semeni watu walioko nje wajue kabisaa
Acheni upumbavu nyie watu walichokisema ndoicho mlichokiandika au mnataka kupotosha umaa wangekuwa hawaamini madaktari wapa tokea siku ya tukio wasingekubali apewe huduma ya kwanza na madaktari wahapa wamefanya ivyo ilikumuacha apumzike na kupunguza idadi ya watu watakaotaka kumuona maana hata hao watu watakao kuja kumuona wengine sio watu wema mtatapatapa sanaHicho ni kikundi cha magaid, yaani wanafanya mchezo wao, wanaandaa watu wa kupiga picha, wanaandaa sehemu ya matibabu.
Akili ndogo, nani alikwambia hawaamini madaktari? Alipelekwa Nairobi kwa sababu ya usalama siyo madaktari Akili NdogoChadema wamenpeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa kunielimisha hii paradox?
Nini maana ya kiusalama it means hamna ulinzi muhimbili si ndioSwala lipo wazi kuwa kiusalama isingekua sahihi atibiwe humuhumu ndani sasa y unakichwa ngumu kwani ubalozi kupokea mtu mpaka akubali kutibiwa muhimbili,....kwani kuna Chadema aliesema hawaiamni serikali au wamesema kiusalama haistahili atibiwe humuhumu ndani.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina roho mbaya klk hata Shetani!