Hawana sifa za kuongoza nchi

Hawana sifa za kuongoza nchi

cardiologue

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
351
Reaction score
90
1:EDWARD LOWASA.....huyu anatumia nguvu kubwa sana kuusaka uraisi, kama uwaziri mkuu ulimshinda sidhani kama anaweza kuongoza Tanzania.Ni mtu anayesemekana kua na maamuzi magumu lakini anashindwa hata kutetea haki yake ndani ya chama, sasa kwa namna hii hatatufaa.

2:BENARD MEMBE.....Huyu amekua mkimya mnoo, hatuelewi misimamo yake juu ya mambo muhimu yanayotikisa nchi, mfano tu juu ya escrow saga hatukusikia kauli yake.Tanzania ya leo, hatuhitaji watu wa aina yake kutuongoza.

3:JOHN MAGUFURI....scandal ya bil 256 inajidhihirisha kabisa kua nae ndio walewale tu.Pia kuna uzi hapa wa ocampo four alimchambua vizuri sana sipendi kurudia

4😀R SLAA...Ukimsikiliza kwa makini utagundua nae hana jipya, hana fikra mpya juu ya tanzania ya miaka mingi ijayo.Kila siku analalamika tu ufisadi ufisadi, hatuambii ni mbinu gani zinaweza kutumika ili kuondokana na ufisadi na wizi wa rasilimali za umma.Hatuhitaji mtu wa kulalamika, tunahitaji mtu wa kutupa solution za matatizo yaliyopo.

5:IBRAHIM LIPUMBA. ...ameshindwa kuendeleza CUF kwa upande wa bara, sidhani kama anaweza kuindeleza tanzania.

Najua wengi nimewagusa pls msije na mitusi, tujadili kwa hoja.
 
Ndg mtafiti na je MBOWE,MAKONGORO NA MWANDOSYA?
 
Team pinda mtajibeba
 
Kwa upande wa MBOWE hapana hatufai kwa sababu ameonesha kuwa ni dhaifu wa demokrasia ndani ya chama cha demokrasia,kama anaongoza chama ambacho kilibadilisha katiba yake na kutamka uongozi hauna kikomo ni hatari sana viongozi wa namna hii kuwakabidhi nchi.Sijakamilsha tafiti zangu kwa mwandosya, makongongoro na lile kundi la kina sokoine2.
 
Team pinda mtajibeba
Pinda hapana, hawezi kutuongoza sababu inaaminika tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu wa aina yake tangu tupate uhuru.Pia ile scandal ya kuchangisha wakurugenzi inamtoa katika suala zima la uadilifu.hafai
 
Hata ww hufai kwa sababu ya kulalamika na kuwazungumzia wenzako kmb hawafai! Niltegemea baada ya kuona hawafai ungekuja na jb la nan anafaa! Xx itafka hatua kila mtu hafai
 
1:EDWARD LOWASA.....huyu anatumia nguvu kubwa sana kuusaka uraisi, kama uwaziri mkuu ulimshinda sidhani kama anaweza kuongoza Tanzania.Ni mtu anayesemekana kua na maamuzi magumu lakini anashindwa hata kutetea haki yake ndani ya chama, sasa kwa namna hii hatatufaa.

2:BENARD MEMBE.....Huyu amekua mkimya mnoo, hatuelewi misimamo yake juu ya mambo muhimu yanayotikisa nchi, mfano tu juu ya escrow saga hatukusikia kauli yake.Tanzania ya leo, hatuhitaji watu wa aina yake kutuongoza.

3:JOHN MAGUFURI....scandal ya bil 256 inajidhihirisha kabisa kua nae ndio walewale tu.Pia kuna uzi hapa wa ocampo four alimchambua vizuri sana sipendi kurudia

4😀R SLAA...Ukimsikiliza kwa makini utagundua nae hana jipya, hana fikra mpya juu ya tanzania ya miaka mingi ijayo.Kila siku analalamika tu ufisadi ufisadi, hatuambii ni mbinu gani zinaweza kutumika ili kuondokana na ufisadi na wizi wa rasilimali za umma.Hatuhitaji mtu wa kulalamika, tunahitaji mtu wa kutupa solution za matatizo yaliyopo.

5:IBRAHIM LIPUMBA. ...ameshindwa kuendeleza CUF kwa upande wa bara, sidhani kama anaweza kuindeleza tanzania.

Najua wengi nimewagusa pls msije na mitusi, tujadili kwa hoja.

Then,

11070382_892228424172680_8820273073918538129_n.jpg
 
Hata ww hufai kwa sababu ya kulalamika na kuwazungumzia wenzako kmb hawafai! Niltegemea baada ya kuona hawafai ungekuja na jb la nan anafaa! Xx itafka hatua kila mtu hafai
Nilishakuja na uzi kuelezea sifa za anayehitajika ila moods wakamovozisha kwenye habari ya miaka 4 ya nyuma bila kujua kuwa inapoteza maana yote kwa kufanya hivo.
 
Hukumtendea haki Dr W.P.Slaa kwa kuwa suluhisho la matatizo ya watanzania alieleza vizuri Katika ilani yz uchaguzi ya CHADEMA mwaka 2010.Pia amekuwa akitoa ushauri namna ya kukabili changamoto mbalimbali Katika Taifa lakini watawala wamekuwa wakipuuza.Nadhani tumeona serikali imekuwa ikiiba Sera za CHADEMA kimya kimya lakini wanashindwa kuzitekeleza na mtu wanaywpaswa kumuomba awaelekeze ni Dr Slaa lakini wanaona aibu!Sera ambao CCM wamecopy kwenye ilani ya CHADEMA ni elimu bure, katiba mpya,jupunguza bei za vifaa vya ujenzi mambo ambao hayakuwepo kwenye ilani ya CCM na walisema hayawezekani
 
1:EDWARD LOWASA.....huyu anatumia nguvu kubwa sana kuusaka uraisi, kama uwaziri mkuu ulimshinda sidhani kama anaweza kuongoza Tanzania.Ni mtu anayesemekana kua na maamuzi magumu lakini anashindwa hata kutetea haki yake ndani ya chama, sasa kwa namna hii hatatufaa.

2:BENARD MEMBE.....Huyu amekua mkimya mnoo, hatuelewi misimamo yake juu ya mambo muhimu yanayotikisa nchi, mfano tu juu ya escrow saga hatukusikia kauli yake.Tanzania ya leo, hatuhitaji watu wa aina yake kutuongoza.

3:JOHN MAGUFURI....scandal ya bil 256 inajidhihirisha kabisa kua nae ndio walewale tu.Pia kuna uzi hapa wa ocampo four alimchambua vizuri sana sipendi kurudia

4😀R SLAA...Ukimsikiliza kwa makini utagundua nae hana jipya, hana fikra mpya juu ya tanzania ya miaka mingi ijayo.Kila siku analalamika tu ufisadi ufisadi, hatuambii ni mbinu gani zinaweza kutumika ili kuondokana na ufisadi na wizi wa rasilimali za umma.Hatuhitaji mtu wa kulalamika, tunahitaji mtu wa kutupa solution za matatizo yaliyopo.

5:IBRAHIM LIPUMBA. ...ameshindwa kuendeleza CUF kwa upande wa bara, sidhani kama anaweza kuindeleza tanzania.

Najua wengi nimewagusa pls msije na mitusi, tujadili kwa hoja.

Ushakula kaka???
 
Back
Top Bottom