Hawakutaka kurudia makosa ya Ulimboka

kumbe na huku upo. ...uganga vipi au umeuza tunguri. .???
 
Bro,kwanza shikamoo.Umejiandaa vzr?Hauko Kwenye nyumba ya vioo? Hatutaki zile kauli za "Bring back our mshana alive".
 
[HASHTAG]#bringbackbenalive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG].
[HASHTAG]#pumzikakwaamaniDena[/HASHTAG]
 

Kamwe ktk hili siwezi kuwa upande wa waliopoteza roho za watu wengi kisa pesa .....
Roho ya mtu haina thamani ya kulinganisha nayo.,..kabisa hainaaaaa
Kisha Leo mnateua mmoja wa waliosababisha watanzania kupoteza roho kwa makusudi kuwa KATIBU MKUU WA CHAMA...... (HISTORIA ITAWAHUKUMU)
 
Duh! ina maana huyo jamaa naye alikuwa na madhara kama Ulimboka kiasi cha watu kuacha shughli zao na kumshughlikia na yeye!

Nimehamasika kujua ni kipi alikuwa akifanya huyo jamaa ambacho ni tishio.
 
Mkuu huwa ipo hivi, Siri huwa ni ya watu 3, shetani, Mungu na mhusika mwenyewe.

Kuna kastory flani nilipata kukasikia, jamaa wanne walipata kutumwa wakafanye maauaji sehemu, ya mtu flani kwa kiasi flani cha malipo.
Waliifanikiwa kumkamata mhusika na wakampeleka porini kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo.

Wakiwa huko porini, walimuambia mhusika asali Sala zake za mwisho, kisha aombe chochote kabla ya kuuawa.

Mhusika, aliinama chini kwa huzuni mwingi, Kisha akasali, Sala fupi ya kuomba Mungu amsamehe dhambi zake, huku midomo ya bunduki na mapanga vikimuelekea yeye.

Akiwa bado kainama aliona msululu wa sisimizi katika mistari moja wakiongozana. Akili ikamjia ghafla, kuwa awaombe wale sisimizi wapeleke taarifa kwao kwamba ameuawa. Alifanya vivyo kwa kupaza sauti, kitu kilichopelekea wale wauaji kucheka sana tena kwa dharau, kisha wakatekeleza mauaji yao kwa kumuua yule bwana, na wakaenda zao.

Ilipita miaka kadhaa, wale wauaji walikuwa sehemu wakipata kinywaji (pombe), huku kikiwa kimewakolea sawa sawa, mmoja wao akaona msululu wa siafu, akacheka sana, wenzake wakashtuka wakadhani amelewa zaidi na kuwa chizi, wakamuuliza vipi, mbona unacheka pekeyako.?

Akawajibu huku akiwaonesha msululu wa wale siafu, Kisha akawaambia kwa kiwauliuliza mnakumbuka siku flani wakati tumamuua flani aliwaomba sisimizi kama hawa wampelekee Salamu kwa ndugu zake yakuwa ameuawa na sisi? Wale Rafiki zake nao wakakumbuka Kisha wakacheka sana kwa kugonganisha glass za vinywaji vyao.

Pasipo kujua pale mbembeni kuna watu waliwasikia, wakati wakikili hayo, wale watu walienda kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama na Jamaa wakatafutwa na kutiwa chini ya ulinzi, Kisha mahakamani kwa kosa la mauaji.

Kwahiyo it's a matter of time and "tick tock"
 
Pole sana ndugu.
 
Duh! ina maana huyo jamaa naye alikuwa na madhara kama Ulimboka kiasi cha watu kuacha shughli zao na kumshughlikia na yeye!

Nimehamasika kujua ni kipi alikuwa akifanya huyo jamaa ambacho ni tishio.
Hamna lolote ni siasa tu, kwakua ni mwanasiasa!
 
 
Hata mimi nakumbuka baba yangu alivamiwa na vibaka wakamkata kidole lakini alivoenda muhimbili akakutana na mgomo wa kina ulimboka uwez amini walimshona bila ganzi na kumruhusu aondoke aliumia sana ....
 
Mkuu Mshana Jr taarifa zako angalia usije ukaongezwa kwenye ile list ya barua alopelekewa Max kupata taarifa za hao member..
 

hawa wetu vil.aza hawazi kufanya hivyo
 
Mkuu mshana.

Halikuwa kosa la kiufundi. Alitakiwa akahadithie na wenzake waone. Kwani hayupo? Si yupo? Lakini


Hawakuona umuhimu wa mfagiaji, au alifagia wakati it is too late.
 
Wewe mzee tatizo lako hiwa unafikiri saaanaaaaa... Watatafuta sana mwaka huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…