Hawa watu wanaongoza kwa kumiliki wanawake wazuri wazuri hivi huwa kuna siri gani?

Mzunguko wa pesa
 
sababu ni moja they dont give a damn...maana wana deal na mambo mengi hata mwanamke mzuri akitokea anaona kwawaida na yuko kazini na wala hampi attention hiko ndicho wanawake huwa wanataka...ila maprofessor na hela zao wanajifanay wazungu atajifanya anamtoa dinner na kumfanya ajione malaika na hapo ndipo wanapokosea....wanawake ni viumbe wa ajabu sana
 
hapo umemaliza kila kitu pia mwanamke anaweza kutembea nao wote hao bila nyie kujua
 
Umewasahau vibaka na wahuni
 
wabana cd
 
Mungu ndivyo akivyoumba...wanawake wawe hivyo...unaweza mkuta mwanamke ana maisha mazuri kazi nzuri lakini ana kabakuli aka kadumu ka pembeni kachoma chipsi ama kaendesha bodaboda iku akijiskia hamu anakatafuta kanaenda kukapa bureee na hela juuu....

Hawa wametikana na ubavu wa Adamu.....kwa hiyo kuwapata unaowahitaji huwezi tumia ati nguvuuuu
 
kabisa
 
Wosomi wengi sio wastaharabu na hawana heshima kwenye mahusiano, hao unao wataja matakwa yao yapo rohoni na ni kutoka rohoni sio vichwani kama kwa wasomi
 
Wosomi wengi sio wastaharabu na hawana heshima kwenye mahusiano, hao unao wataja matakwa yao yapo rohoni na ni kutoka rohoni sio vichwani kama kwa wasomi
rohoni na kichwani vinatofauti gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…