Hawa wanawake wana ndoa?

Watu ambao hamjui kingereza kwanini mnapenda sana kukitumia ?
SHIT! THIS WORSE TOPIC I EVER THINK YOU COULD JUDGE PERSONAL LIFE OF OTHERS!
PLS TRY TO FOCUS YOUR LIFE BASICALLY INVESTING VARIOUS PROJECTS.
Now umenikumbusha MW NYERERE alivyosema TANZANIA tuna maadui watatu namely IGNORANCE, DIESEASE, AND POVERTY.
 
Steven Wassira unamjua ?
 
Huyu asha-rose..nakumbuka aliwahi kubadili dini ili aolewe
ndio maana ya kuongezeka jina moja hapo kwenye asha -rose..
sasa kuniambia mumewe ni huyo kwa sasa... ..... ..mmh! au aliachika tena na kuolewa tena!
Ushaambiwa Migiro ni jina la mmewe, yeye la ukoo wake ni Mtengeti, unataka nini zaidi hapo ?
 
Sijui ni kwamba wanaume tunapenda show offs au ndo tunajali sana ? I'm sure kwa nafasi walizokuwa nao waliotajwa katika hiyo list kama wangekuwa ni wanaume, wake zao wote wangekuwa wanajulikana.

Kwenye kufungua sijuu nini huko ungesikia makamu wa Raisi kaongozana na mkewe.
Naibu spika kaongozana na mkewe.
 
Sasa Sawa mama Lwakatale si awaombee hao na yeye mwenyewe
 
W
Jenista mhagama ni mjane ila Kitambo Sana mmewe kafariki mmewe alikuwa mkandarasi wa mabarabara


Source- kwa mujibu wa wananchi wa kijiji alichozaliwa jenista mhagama kinaitwa PARANGO
Waulize hao wanakijiji wake kama bado anadanga na .,....
 
Mme wa Anna tibaijuka alifariki zaman Sana alikuwa anaitwa kajumulo Alexander tibaijuka.

Na kule bukoba kuna shule ya wasichana ya kummenzi inaitwa kajumulo Alexander high school
 
Makamu tunasikiaga tu kaolewa lakini hajawahi kuonekana hyo shemeji nyakati zote akiapa
 
Mme wa Anna tibaijuka alifariki zaman Sana alikuwa anaitwa kajumulo Alexander tibaijuka.

Na kule bukoba kuna shule ya wasichana ya kummenzi inaitwa kajumulo Alexander high school
Kajumulo huyu huyu wa KAJUMULO WORLD SOCCER...
Aliyekuwa mmiliki wa Kajumulo timu iliyokuwa inacheza ligi kuu Tanzania Bara
 
Hao ni wake Za watu na wenye familia zao wewe unataka nini, Sina shaka una Tatizo la Saikolojia
 
PRINCEd, Majina ya mwisho 90% ya hao wote uliwataja ni ya waume zao na wengi wa waume zao ni wafanyabiashara
 
PRINCEd, Acha zako,we fanya maisha yako,hakuna hoja ya msingi hapo,kama umevimbiwa gonga magnesium ulale
 
Hapo najua Ester Bulaya na Halima Mdee ni Couple,

Getrude Rwakatare tangu alipoachana na mumewe hakuolewa tena,

Fatma Karume hajaolewa,

Catherine Magige hajaolewa,

Anna Tibaijuka Mjane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…