Hawa wanawake wana ndoa?

Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
Mbona unajikanyaga kanyaga wewe? Kama ungeuliza mambo yao ya siasa ningekuelewa kwa ending hii, lkn unauliza ndoa za watu na bado unasema huna nia ya kuchunguza familia za watu
 
Estha Bulaya nakumbuka kitu kama mjane
Mama Samia mume anae
Ndalichako mume anae
Jestina alifiwa mume hlf akaja kuolewa tena
Ummy anae pia
 
Ukimalizana nao kamuulize na mama yako akuonyeshe baba.
Hapo ndiyo baadhi ya wanawake huwa wananichekesha,wakicheza hata XX,wakishambuliwa wanaenda kutafuta mwavuli wa 'ma a taking au dada yako' ili waachwe wafanye upumbavu wao.Menina mwenyewe baadhi ya wanawake walisema video yake tusiisngalie,yule ni kama mama yetu au dada yetu.
Mama yangu au dada yangu siyo mpumbavu kama wajingawajinga flani.
 
Hapo kuna wawili shemeji zako kwa nanii
 

Acha uwongo wewe asilimia 90 ya ulowataja wanawaume
 
Wote hao wameolewa isipokuwa mama Makinda na Juliana Shonza? Vipi mkuu unawatakia nini?
 
Rwakatare mtoa kwenye hy list, mana amewadanganya mabinti kuwa wanaume wataletwa na upepo wa kisulisuli.
Huyu ameolewa na ana watoto kadhaaa lakini ametengana na huyo mumewe akiwa tayari na watoto wakubwa. Katika ndoa za kikristo hakuna kuachana, kwahiyo bado anahesabika ameolewa. Hata kwenye harusi ya binti yake alionekana high table akiwa ameketi sambamba na huyo mzee baba mwenyewe Mr Lwakatare
 
Asha Rose Migiro mme wake ni Lecturer pale udsm.
Am not sure if he is still there.
Tulia kaolewa
Anna Tibaijuka mmewe keshatangulia mbele za haki.
The least known the least explained.
Asha Mtengeti alipoolewa na Cleophas Migiro ndipo akapatapo jina jipya Asha-Rose Migiro. Huyo bwana ni Profesa wa sheria pale UDSM
 
SHIT! THIS WORSE TOPIC I EVER THINK YOU COULD JUDGE PERSONAL LIFE OF OTHERS!
PLS TRY TO FOCUS YOUR LIFE BASICALLY INVESTING VARIOUS PROJECTS.
Now umenikumbusha MW NYERERE alivyosema TANZANIA tuna maadui watatu namely IGNORANCE, DIESEASE, AND POVERTY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…