Hawa wanawake wana ndoa?

Itakua modes waliona umeandika ujinga wkt wanajua we mwenyewe bado unasubiri upepo wa kisulisuli ili uolewe/upate mume.
Hilo jamaa ni box kweli. Angalia hiyo list utagundua jamaa anatafuta dume
 
Ukijua itakusaidia nini?
Huo ndio umbea na majungu ya kutaka kujua ya watu wasio kuhusu...
Kijana mzima na pumbuu mbili unaleta kufuatilia maisha ya watu.
Acha ujinga dogo utavalishwa bikini ohoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…