Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kwenye mitandao ya kijamii kila uchao kuna mavituko. Hawa walioko kwenye mitandao ya kijamii wanatoka hukuhuku mitaani tunakoishi
Lakini wanayoyasema huku mitandaoni hayapo kabisa huko mitaani
Hawa wa mitandaoni ni wema sana, Hawawatendi wenzao ila wao tu ndio wanaotendwa, Hawataki maisha ya fedha kwani wanadai eti hela inatafutwa
Bora hayo ila kali ni hii hapa
Wanataka wanaume ambao wakiwa faragha basi jamaa apige mzigo kama vile anaendesha baiskeli.
Lakini hawa wa huku mitaani hawataki hiyo kitu,wakiwa faragha hawataki ule biashara ya kupiga mzigo kama vile kesho haipo na ukilazimisha kupiga sana mzigo utakuja kujikuta una makovu mengi sana ya meno kifuani au sehemu zingine za mwili kutegemea na style umliyokuwa nayo wakati wa"mechi"
Wana isemo yao....Eti "mwanaume gani anakung'ang'ania kitandani utadhani kupe"?
"Anatwanga utadhani hii ni kinu"
Wa mitandaoni bana......
Hawa wa huku mitandaoni wanataka dushe kubwa
Wa mitaani
Hawa wa huku mitaani wao ukiwa na dushe kubwa utasikia tu wanakusema mitaani "mwanaume gani ana dushe kama mguu wa mtoto"?Huwa wanalalamika eti ukienda faragha na mwanaume huyo kesho yake utadhani umejifungua"
Huwa tu najiuliza hawa wanawake ambao kila uchao wanakuja huku na kulalamikia sijui vibamia na uchovu wa wanaume huwa wanapatikana wapi?
Maana hawapo kabisa na kama wapo basi ni wachache sana
Ki ukweli kuna utofauti mkubwa sana kati ya maisha ya mtandaoni na ya mitaani,ukiyachukulia haya maisha hapa serious imekula kwako kabisaaaaa!