Hawa wanawake tabu tupu jamani

Hawa wanawake tabu tupu jamani

Pamoja na mambo yao yote ila kuna hili hapa limenikuta hadi naandika huu uzi.

Sikatai kushea ila kwa hili sikubali jaman ...huyu dada ni classic ila kwenye moja na mbili nimemuona tunae kula nae sahani moja aisee ni kinyaaa.

Mbususu ndio imekua intersection point ya mataji na mafukara ,wachungaji na waganga, wenye akili na wendawazimu, wachafu na wasafi
..yaani wote hawa kinacho tukutanisha ni k.

Kapo muhusika kanigomea kuwa hawezi kudinywa na huyo jamaa ila nilivyo muona jamaa anakila dalili za kumla huyu demu na anampenda

At least hata jamaa angekua kama mimi au zaidi yangu ningejiona mwamba ila hapa mwenzenu nimepigwa na radi.

Ladies kuweni na standards bana duu

NB
ieleweke sijachapiwa cos na mimi ni mwizi kama waizi wengine. But I have standards...simba hawezi kula sahani moja na fisi hata hiyo sahani iwe nzuri vipi
Standard au hadhi haina nafasi kwenye mapenzi, in short unawaza kitoto sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom