johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,107
na muda si mrefu hii kitu inakwenda kuruhusiwa kulimwaHao hawatakiwi kukamatwa ni wawekezaji wazawa wametangulia kuwekeza kabla wawekezaji wa kigeni hawajaruhusiwa kujakuwekeza.
hakika usemayoWawaache walime ili airport itumike kusafirishia mapato yaingie... Sababu sidhani kama ile airport hata inatumika.
Hapo njia nzuri nadhani wawekewe kiwanda cha kuchakata bangi na wapewe mafunzo ya kina ya namna ya kuliendeleza zao hilo na kuuza nje kihalali, iwaletee faida wakulima hao na taifa kwa ujumla.Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.
Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na kuichoma moto mbele ya waandishi wa habari
Source ITV habari
My take; hawa waliolima bangi wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutenda kinyume na agizo la Rais
Duh...!.
P