Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

Katika mtu masafi na anaepinga Ufisadi CCM na ana rekodi nzuri Tanzania hii na hana kashifa yoyote ni William Kusila(M/kiti wa CCM Mkoa wa Dodoma) amekua mwiba mkubwa kwa Lowassa na Rostam! Yeye ndie alie pigilia msumari wa kuwa vua gamba Rostam,Lowassa na Chenge!
 
Wengine kutoka mkoa wa Mbeya ni

John Liivingstone Mwakipesile (Rc mstaafu)
Regnald Msomba (Mwenyekiti UVVCCM mkoa Mbeya)
Athanas Kapunga (Meya wa Jiji la Mbeya)
Thom Mwang'onda (Mbunge mstaafu)
Charles Mwakipesile (Mwandishi wa Majira Mbeya)
Nswila (Mwenyekiti UVVCCM Mbeya mjini)
Advocate Nyombi (RPC Mbeya)
 
Katika harakati zake za kujinasua katikaa kufukuzwa uanachama wa CCM na vikao vya chama, EL ana watu ambao wapo tayari kufa nae.

Hawa ni:

Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba,
Januari Makamba,
Karamagi Nazir,
Sofia Simba,
Kusila (m/kiti wa CCM Dom),
John Guninita (m/kiti Dar)

Ongeza orodha, wewe unamjua nani???


Nawasilisha

Hii thread imekaaje kizushi zushi ,kwatafuta watu uchawi
 
Wengine kutoka mkoa wa Mbeya ni

John Liivingstone Mwakipesile (Rc mstaafu)
Regnald Msomba (Mwenyekiti UVVCCM mkoa Mbeya)
Athanas Kapunga (Meya wa Jiji la Mbeya)
Thom Mwang'onda (Mbunge mstaafu)
Charles Mwakipesile (Mwandishi wa Majira Mbeya)
Nswila (Mwenyekiti UVVCCM Mbeya mjini)
Advocate Nyombi (RPC Mbeya)[/QUOTE
na hao ndio mafisadi mbeya.wao kwa wao wanaungana mkono!
 
.

Kuna kila dalili kuwa huyu jamaa atagombea 2015 kupitia CCM, na kama upinzani tusipokuwa makini huyu bwana anachukua nchi kiulaini, kuna dalili nyingi kuwa upande wetu ikikaribia uchaguzi tutaanza malumbano ya sisi kwa sisi ndani ya vyama na kuhusu muungano wa vyama wakati huo tunampa EL nyia nyororo ya kwenda magogoni kula bata.

Wewe una akili sana, umelonga maneno ya maana sana, wakati wa uchaguzi badala lenu liwe moja, mnaanza myukano.
 
Wengine ni hawa hapa
mwanyekiti wa ALART Taifa na mbunge wa Afrika mashariki kutoka Dar-Didas Masaburi
Mh Mbunge wa Segerea-Milton Mahanga
Mh Mbunge wa Kilindi-Bitte Shelukindo
Makamba mdogo
Zitto Zuberi

Pia wamo,Hamis mngeja wa ccm shinyanga,,Jah pipo Sanga mwenyekiti wa ccm iringa, wanahabari saed kubenea,absalom kibanda,jack manyerere,deo balile,kitombi muhingo rweyemamu,msomali Hussein Bashe,mmasai ole millya,lau masha....
 
Nimemsahau
Abdulrahman Kinana
Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu Waziri wa Viwanda na Bishara Mh olemedeyie

Kinana hapana,namtetea hayupo na lowassa hata chembe japo wengi wanadhani hivyo lakini ni yeye ambae amekua mstari wa mbele muda mrefu kumshauri jakaya aachane na kina lowassa kwa kuwa wanamuharibia,,tukio moja nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita,kinana alichukizwa sana na kitendo cha jk kwenda igunga na monduli na kunyanyua mikono ya jamaa huku akiwaelezea kwamba wameenea kila idara!kinana kwa maneno yake kuonyesha amekata tamaa na ubishi wa jk alitutamkia kwamba inavyoonekana jk bado anawapenda jamaa zake na atawajumuisha kwenye serikali yake mpya lakini watazidi kumuharibia,akaongeza kusema "najua watu wengi ndani ccm wanawaogopa jamaa hivyo wanashindwa kumwambia chaorman ukweli kwamba jamaa ni mzigo lakini mimi simuogopi mtu kwa kuwa sina shida ya uwaziri au uongozi mimi nafanya biashara zangu ndio maana hata kwenye kamati kuu na nec huwa nawapasulia mtazamo wangu hasi dhidi ya hawa mabwana kinaga ubaga,mwenye kununa anune lakini sijali,hata kwenye suala la sitta kufukuzwa uanachama akiwa spika ni mimi niliyepinga hadharani na kuwaeleza spika hana makosa anafanya kazi yake na anatusaidia waulizeni wajumbe wa vikao hivyo watawaeleza" mwisho wa kunukuu.Watu wengi hawamuelewi kinana nadhani wengi wanamhukumu kutokana na rangi ya ngozi yake,lakini yule kina lowassa wanamuona ni kikwazo kikubwa kwao,na hata lowassa akifanikiwa kupitishwa kugombea kwa tiketi ya ccm kinana hatakuwemo kwenye kampeni zake kama ilivyo ada!kinana ana akili nyingi sana miongoni mwa magamba,yule sio mjinga mjinga na anawasidia mambo mengi sana upande wa ushauri magamba.
 
The Romantic sawa sawa, Kinana never, infact ndio maana mpaka leo hajawa Katibu Mkuu wa CCM kama inavyotakiwa cause alimuahidi Mwenyekiti kuwa akipewa atawafukuza mafisadi bila kusubiri vikao vya Chama.
 
Kuna siku moja nilikuwa nimelala Chumba cha juu pale Dodoma Hotel, Chumba cha chini yangu kulikuwa na Mwenyekiti wa Chama kimoja maarufu sana cha Upinzani wanakunywa pombe na Chenge na Lowassa now I see the picture very clear!
 
Wewe una akili sana, umelonga maneno ya maana sana, wakati wa uchaguzi badala lenu liwe moja, mnaanza myukano.

Namshangaa! Kwani safari hii si zamu ya Zanzibar? Na mgombea si hatatoka kaskazini? Tena si zamu ya Mwislam? Halafu,si inabidi awe kijana?
 
EL anaungwa mkono na watu wengi mno. Wee angalia hw he moves people when he speaks, kwa kweli wen it matters and making tough decisions ndugu yangu hujitolea.. Nilikua shinyanga, nikamkuta akielekea mwanza, watu walikua wengi mno wakimpokea, akawa anakataa misafara isilete picha mbaya. Kama ni impact na advantage EL aliyonayo, ni hayo aliyoyatenda kwa wananchi wengi sana.
 
Back
Top Bottom