Hawa wana MMU wamapotelea wapi? Ninavyowamiss!

mi nimewamiss sana dada mkubwa Lizzy, bi mdogo wa zamani Passion Lady na mzee wa kuloggoff Washawasha!

kwa yeyote atakaewaona kokote na kuwawasilisha kwangu,

namtangazia dau la dola 100,000 za kimarekani!

changamkieni dili hilo...
Mkuu Excell,tupo majukumu yamekuwa magumu mno,najuta kwanini nimekuwa mkubwa.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Husninyo niko somalia mwezi sana nasubiri kazi UN ntakuja nairobi mwezi ujayo,bongo ntakuja kupiga kura mwakani,wasalimie wote.

Braza ulipotea sana aisee!!!
Msalimie na Kamanda klorokwini Bana...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…