Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Habari za asubuhi wajameni! Hapa nilipopanga(uswazi street) nipo jirani na madada fulani ndani ya nyumba moja ya kupanga.
Hawa wadada ni warembo haswa na nilikuwa na mpango wa kuwatokea siku moja. Sasa nimekuja kugundua kuwa nikiingia chooni tu wanakuja kukaa kwenye baraza karibu na choo, wanajifanya wanasuka, nikitoka na kuanza kucheka ila, sasa juzi nikaingia tena wanaanza kucheka! hawa wadada hawafai, hapa nataka kuhama sina hamu na uswazi.