Hawa sokwe/nyani wa siku vipi? Mbona hawabadiliki kuwa watu?

Duh shule ni ngumu sana...
Evolution(kama vitabu vinavyosema) inachukua muda sana..wewe huwezi kushuhudia evolution kwa generation moja.. evolution inachukua miaka hata mil 1..sasa wewe utakuwepo hio miaka mil 1 uone kama sokwe anambadilika..
Hapo kwenye bold, Kwa hiyo, hao waliosema kulitokea EVOLUTION, wao walikuwepo hiyo miaka 1M..??
 
Duh shule ni ngumu sana...
Evolution(kama vitabu vinavyosema) inachukua muda sana..wewe huwezi kushuhudia evolution kwa generation moja.. evolution inachukua miaka hata mil 1..sasa wewe utakuwepo hio miaka mil 1 uone kama sokwe anambadilika..
Life expectancy ya sokwe haifiki hata miaka 100 unategemea.atabadilika ktk.miaka ngapi ktk hiyo mil
 
Hakuna kitu kigumu kukielewa kama theory ya evolution kama wewe ni kichwa maji.
Exactly....na ili kuepusha Maneno mengi wasomi wengi (mpaka walimu wetu madarasani) huwa wanasema tu binadamu katokana na nyani.....kitu ambacho sio kweli.....theory ya evolution haisemi kuwa binadamu katokana na nyani......na ndio maana tunapata maswali kutoka kwa watu kama hawa......sio kosa lao lakini....ni mfumo wa elimu yetu
Hakuna kitu kigumu kukielewa kama theory ya evolution kama wewe ni kichwa maji.
 
Life expectancy ya sokwe haifiki hata miaka 100 unategemea.atabadilika ktk.miaka ngapi ktk hiyo mil
Dah....yan mabadiriko hayatokei kwenye generation moja ya sokwe na haimaanisho sokwe mmoja ndo anaishi miaka mil 1...ni generations of sokwe wanabadirika taratibu
 
U are the best.....humans were humans and apes were apes although they looked similar (til today).....what Darwin said was "modern human beings (homo sapiens) evolved from another species which was in the same family as apes (and hence looked like apes according to fossil records)...they weren't apes....they were humans but with a different posture and intelligence..... Since then they have been evolving according to environments.....its probably the modern apes u see in the zoos and wilds today are not the same in appearances as the apes lived 2mil years ago.....u just can't see it coz evolution is one of the slowest process.....it need time....what we can see and speculate from it are its footprints..,. And bad enough it can't be predicted....its a random process.....
I got u're point.. but also u need to know transformation process ingekuwa inaonekana very clear unless otherwise generation ya nyani ingekuwa imedisappear kabisa..
 
Yani kiufupi ni kuwa.....evolution haisemi kuwa punda anaweza kuwa ng'ombe baada ya miaka may be million tano.....au ngedere awe binadamu....laa hasha....punda ataendelea kuwa punda lakini ni punda advanced....anayeendena na mazingira yatakayokuwepo....na inawezekana kimuonekano akawa tofauti kwa baadhi ya maumbile na punda wa leo.....the same happens to sokwe and humans beings..... From archeological records.... The appearance of human being 5mil years ago was not as the same as the modern human.....daaaa.....nimechoka aiseee......labda tuendelee tu na imani yenu.....binadamu alikuwa nyani.....daaaaa.......shule kazi kweli
 
I got u're point.. but also u need to know transformation process ingekuwa inaonekana very clear unless otherwise generation ya nyani ingekuwa imedisappear kabisa..
I told u evolution process haitokei over night...... huwezi kuiona within a single or few generations for most of organisms...... But some can evolve within few generation and u can observe the process....(think about bacteria and some protists)..... and which generation of apes unataka wawe wamedissappear?....in fact the modern apes are not the same as their ancestors 2-5mil ago.....they evolved....bt they can't be human becoz that is not how evolution work.....
 
Hakuna binadamu alieyetokana na nyani. Historia imejaa stori za uongo na kweli
Kuna theory nyingi zinazoelezea origin of man, zipo za ki historia, kibaiolojia na wale wa dini.
So sio lazima wewe uiamini hiyo ya manyani, lkn pia hili wewe uipinge njoo na fact zako kama wenzio walivokuja na fact za kutosha
 
I told u evolution process haitokei over night...... huwezi kuiona within a single or few generations for most of organisms...... But some can evolve within few generation and u can observe the process....(think about bacteria and some protists)..... and which generation of apes unataka wawe wamedissappear?....in fact the modern apes are not the same as their ancestors 2-5mil ago.....they evolved....bt they can't be human becoz that is not how evolution work.....
Unakazi kuwaelimisha watu amao hata huyo bacteria hamjui, maana at least ange jua kwanini muda mwingine mtu anatumia dawa fulani ambayo alikua akitumia kutibu ugonjwa fulani lkini baada ya muda kwenda akitumia tena kutibu haponi hadi wabadili dawa nyingine, wangejua nini maana ya evolution
 
Exactly....na ili kuepusha Maneno mengi wasomi wengi (mpaka walimu wetu madarasani) huwa wanasema tu binadamu katokana na nyani.....kitu ambacho sio kweli.....theory ya evolution haisemi kuwa binadamu katokana na nyani......na ndio maana tunapata maswali kutoka kwa watu kama hawa......sio kosa lao lakini....ni mfumo wa elimu yetu
unajua kuna vitu vingine unabaki kucheka tu unakuta mtu kakalilishwa binadamu alitokana na nyani sijui sokwe na yeye anakubali bila kujiuliza au kujisomea theory yenyewe,Hakuna sehemu Darwin aliwahi sema binadamu katokana na nyani hizi habari katika elimu yetu sijui zimetoka wapi.
 
Watu wavivu sana wa kujisomea....mi toka mwanzo nimewaambia walete andiko lolote la Darwin alilisema binadamu alikuwa nyani, hakuna aliyefanya hivyo mpaka sasa!!
 
Watu wavivu sana wa kujisomea....mi toka mwanzo nimewaambia walete andiko lolote la Darwin alilisema binadamu alikuwa nyani, hakuna aliyefanya hivyo mpaka sasa!!
Umeambiwa darwin ni mfan wa hao kwenye their za ajabu kuhusu maisha....
 
Back
Top Bottom