Hawa sokwe/nyani wa siku vipi? Mbona hawabadiliki kuwa watu?

Mkuu what do u think?
Binadamu alianzaje??
Tulianza kama binadamu hivi hivi au tulikuwa viumbe wengine ndio tukachange kuwa hivi tulivyo?
Binadamu ni binadamu from the beginning.. sema kuna different kinds of human beings and this is due Geographical and climatic factors.. Don't ever refer human being from Apes buddy..!!
 
Una elimu gani wewe?.....and hata kama ni form four nadhani ungekuwa na uwezo wa kuelewa kitu kama hiki......kila siku watu wanaeleshwa lakini hawataki elewa.....seriously.... ebu rudi kasome tena then uniletee ushahidi hapa ni Wapi Dr. Charles Darwin alisema binadamu alitokana na nyani au sokwe.....open ya mind na usilete udini.....utaelewa....
Udini upo wapi Chief?!
 
We huon sisi tunavyobadilika?

Kila Mwanaume anakitambi, si wenye pesa, wala masikini.

Zaman kitambi walikuwa navyo wenye mapene.
 
You don't even trying to reasoning those called ''facts''..?

Fact is a product of reasoning. Huwez ku reason fact kwasababu ishakuwa established kuwa ni true haiwezi kubadilika

Mfano wa fact;dunia ni duara. Ukianza ku reason sasa hivi dunia ni duara utaonekana kichaa
 
Fact is a product of reasoning. Huwez ku reason fact kwasababu ishakuwa established kuwa ni true haiwezi kubadilika

Mfano wa fact;dunia ni duara. Ukianza ku reason sasa hivi dunia ni duara utaonekana kichaa
Nadhani truth unayoingelea hapo is just a concept of agreement btn a certain groups of peoples.. Unayoiona fact today tumor inaweza ikawa a big lie.. Nadhani ufahamu kipindi cha Middle Age watu walikuwa wanaamini dunia ni flat..
 
Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu..... .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr Darwin...
Nani kakwambia nyani walibadilika kuwa watu?

Unafahamu bacterial resistance to antibiotics ni nini na inasababishwa na nini?

Unajuakwa nini Chloroquine haitibu Malaria siku hizi Tanzania?
 
Nani kakwambia nyani walibadilika kuwa watu?

Unafahamu bacterial resistance to antibiotics ni nini na inasababishwa na nini?

Unajuakwa nini Chloroquine haitibu Malaria siku hizi Tanzania?
One sasa unachozungumza.. Umesoma technical communication wewe, clarityyyyy
 
Nadhani issue hapa sio evolution.. issue ni source ya mwanadamu.. and I'm not agree with the concept of human being came from Apes
U are the best.....humans were humans and apes were apes although they looked similar (til today).....what Darwin said was "modern human beings (homo sapiens) evolved from another species which was in the same family as apes (and hence looked like apes according to fossil records)...they weren't apes....they were humans but with a different posture and intelligence..... Since then they have been evolving according to environments.....its probably the modern apes u see in the zoos and wilds today are not the same in appearances as the apes lived 2mil years ago.....u just can't see it coz evolution is one of the slowest process.....it need time....what we can see and speculate from it are its footprints..,. And bad enough it can't be predicted....its a random process.....
 
Tumia akili yako tu ya kuzaliwa, kwa hiyo binadamu katokana na nyani? Na kama evolution inachukua miaka hata milion, sasa tangu hiyo dhana mliyolishwa ni miaka mingapi imepita? aliyekuja na iyo dhana alishuhudia hiyo miaka milioni nyuma kuwa binadanu alibadirika kutokana na nyani, je na nyani alitokana na nini?
Daaaaa.....naomba niondoke huku......hamia jamii intelligence may be utaelewa kidogo......naona huku vitoto vimejaa
 
Achana nao hawana hata akili ya kawaida ya kuzaliwa, kila wanachoambiwa na mzungu wanaamini. Aibu sana binadamu mwenye akili timamu kuamini upuuzi huu.
Unacomment kwa kutumia kifaa walichotengeneza wao halafu unawaita wajinga....hahahaha.....maisha yako kwa siku am sure 85% unatumia vitu walivyotengeneza wao.....wewe na akili yako ya kuzaliwa unawaza kula, kunya na kulala
 
Back
Top Bottom