Nadhani issue hapa sio evolution.. issue ni source ya mwanadamu.. and I'm not agree with the concept of human being came from Apesapparently....ni body can predict the future...(at least for the current technology).... But evolution is real..huwezi kuniuliza binadamu atakuwa nani wakati bado hajawa......let's wait 2 or 5 mil years...then kama utakuwepo utatuambia binadamu kawa nani....
Mimi na wwTutakuepo wote ee
Mimi na ww
Mkuu what do u think?Nadhani issue hapa sio evolution.. issue ni source ya mwanadamu.. and I'm not agree with the concept of human being came from Apes
Mkuu so sorry kwanin uliamua Tumia hiyo user name " conjugal" kama hutojaliNadhani issue hapa ni apart from that process bado kungekuwa na transition generation ambayo inaexist.. i mean kungekuwa na creatures who are not Apes nor Human beings
Achana nao hawana hata akili ya kawaida ya kuzaliwa, kila wanachoambiwa na mzungu wanaamini. Aibu sana binadamu mwenye akili timamu kuamini upuuzi huu.Kwahiyo wanasayansi wanauwezo wa kutambua nini kilitokea miaka 5m nyuma na hawana uwezo wa kutambua nini kitatokea miaka 5m mbele eti?
Kwahio mpak leo hakuna sokwe kwenye miaka million co, lolDuh shule ni ngumu sana...
Evolution(kama vitabu vinavyosema) inachukua muda sana..wewe huwezi kushuhudia evolution kwa generation moja.. evolution inachukua miaka hata mil 1..sasa wewe utakuwepo hio miaka mil 1 uone kama sokwe anambadilika..
Sasa ndo umeongea ninapparently....ni body can predict the future...(at least for the current technology).... But evolution is real..huwezi kuniuliza binadamu atakuwa nani wakati bado hajawa......let's wait 2 or 5 mil years...then kama utakuwepo utatuambia binadamu kawa nani....
Halafu wanasema na alikua nyani, kwahio nyani wa kwanza ni mwafrikawanatudanganya eti mtu wa kwanza kuishi duniani alikuwa anakaa olduvai huko ngorongoro
GeneousKwahiyo wanasayansi wanauwezo wa kutambua nini kilitokea miaka 5m nyuma na hawana uwezo wa kutambua nini kitatokea miaka 5m mbele eti?
Baada ya miaka milioni si ndio sisi tumetokeaKwahio mpak leo hakuna sokwe kwenye miaka million co, lol
Na hao viumbe wengine walianzajeMkuu what do u think?
Binadamu alianzaje??
Tulianza kama binadamu hivi hivi au tulikuwa viumbe wengine ndio tukachange kuwa hivi tulivyo?
Kama happy birth day watu wanatofautiana, na sisi nyani wastaafu mbona hatuoni na wenzetu wakibadilika? Wakitimiza miaka million baada yetu? Ndo maana yangu...Baada ya miaka milioni si ndio sisi tumetokea
Katika evolution tukisema binadamu ametokana na nyani hatumaanishi nyani alishushwa...Na hao viumbe wengine walianzaje
Wapi walisema nyani walibadilika kuwa binadamu?? Unaweza ukaleta reference hapa???Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu..... .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr Darwin...
Na hydrogen zmetoka wapi..... Na hayo macarbon mkuuKatika evolution tukisema binadamu ametokana na nyani hatumaanishi nyani alishushwa...
Hii tunakuja kwenye maada nyingine ya origin of life hii nayo ina theory nyingi lakini inayo aminiwa sana ni hii ya kuwa life ilianza baada ya elements of life kam hydrogen, carbon na nitrogen zilipoungana under specific environment ndo life ikatokea..
Baada ya hapo simple form ya life kama bacteria ndo yakwanza kutokea ikaevolve hadi hao nyani wakatokea na sisi binadamu ndo tukatokea