Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu..... .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr Darwin...
Una elimu gani wewe?.....and hata kama ni form four nadhani ungekuwa na uwezo wa kuelewa kitu kama hiki......kila siku watu wanaeleshwa lakini hawataki elewa.....seriously.... ebu rudi kasome tena then uniletee ushahidi hapa ni Wapi Dr. Charles Darwin alisema binadamu alitokana na nyani au sokwe.....open ya mind na usilete udini.....utaelewa....Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu..... .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr Darwin...
Darwin ni mfano tu wa wenye mawazo kama ya kwake...Una elimu gani wewe?.....and hata kama ni form four nadhani ungekuwa na uwezo wa kuelewa kitu kama hiki......kila siku watu wanaeleshwa lakini hawataki elewa.....seriously.... ebu rudi kasome tena then uniletee ushahidi hapa ni Wapi Dr. Charles Darwin alisema binadamu alitokana na nyani au sokwe.....open ya mind na usilete udini.....utaelewa....
Duuuu.....hata hueleweki....Darwin ni mfano tu wa wenye mawazo kama ya kwake...
Duuuu.....hata hueleweki....
Duh shule ni ngumu sana...Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu..... .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr Darwin...
Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu..... .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr Darwin...
Binadamu akibadilika atakuwa nani?Duh shule ni ngumu sana...
Evolution(kama vitabu vinavyosema) inachukua muda sana..wewe huwezi kushuhudia evolution kwa generation moja.. evolution inachukua miaka hata mil 1..sasa wewe utakuwepo hio miaka mil 1 uone kama sokwe anambadilika..
Mkuu mimi sijaspecialize kwenye mambo ya evolution kwahio siwezi kupredict baada ya miaka milioni 1 au 10 binadamu tutafananaje..Binadamu akibadilika atakuwa nani?
apparently....ni body can predict the future...(at least for the current technology).... But evolution is real..huwezi kuniuliza binadamu atakuwa nani wakati bado hajawa......let's wait 2 or 5 mil years...then kama utakuwepo utatuambia binadamu kawa nani....Binadamu akibadilika atakuwa nani?
Hahahaha yupo anacheki mpambano, na kawahi stiti ya mnele kabisaMy handsome Dr. Shika Mashilongo.....
Kwahiyo wanasayansi wanauwezo wa kutambua nini kilitokea miaka 5m nyuma na hawana uwezo wa kutambua nini kitatokea miaka 5m mbele eti?apparently....ni body can predict the future...(at least for the current technology).... But evolution is real..huwezi kuniuliza binadamu atakuwa nani wakati bado hajawa......let's wait 2 or 5 mil years...then kama utakuwepo utatuambia binadamu kawa nani....
Tutakuepo wote eeLabda tusubiri baada ya miaka milioni 10
Nadhani issue hapa ni apart from that process bado kungekuwa na transition generation ambayo inaexist.. i mean kungekuwa na creatures who are not Apes nor Human beingsDuh shule ni ngumu sana...
Evolution(kama vitabu vinavyosema) inachukua muda sana..wewe huwezi kushuhudia evolution kwa generation moja.. evolution inachukua miaka hata mil 1..sasa wewe utakuwepo hio miaka mil 1 uone kama sokwe anambadilika..