ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
[h=3]Jamani ndugu zanguni naomba mnisaidie kitu kimoja ambacho huwa kinaniumiza akili, hivii, hawa wanyama ambao wanajulikana kama big 5 wanapatikana popote duniani au ni Africa tu?
je kuna wanyama wanaopatikana tanzania na hawapatikani popote duniani? nimeshangaa kuona twiga, pundamilia, simba, mbuni, faru na wengineo kama wetuuu eti wanapatikana England?? mi nlidhani wamepelekwa kama waleee walosafirishwa, waziri kagasheki anajua..
[/h][h=3]
[/h][h=3]WOBURN SAFARI PARK IN ENGLAND!!!!!!![/h]