ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
- Thread starter
- #21
Tena ukifika kwenye Twiga, mapigo ya moyo hunienda kasi sana. Hiyo ni Nembo ya taifa, basi tu watu wachache wameamua kulifumbia macho hilo utadhani hawajui nini kinaendelea.
wanajua sana! unaweza kukuta huyo twiga mmoja tu amepewa jengo la ghorofa kibaooo, wanajuaa, we muulize kagasheki atakuambia