zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,018
- 3,514
*Nimekutana na mapolisi town wakaniuliza mbona unatembea usiku. Nami nikawauliza kwani usiku watu wanaogelea?...sasa hivi nipo zangu kwenye difenda I think wananipeleka home*
sijui inakula kwanguSafari njema