Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,904
Bila picha huu uzi wengine unatuchanganya sana
Panya kama panya mkuu😆😆Inapopita penseli au peni basi panya anapita..mkuu unamaanisha panya manyama au panya wa Aina ingine, maana tusijekuwa tunajadili kitu sicho
Vitu vya dar ni vya ajabuPanya wa Dar hal wanapoga kelele usiku kucha alafu ni wa kubwa ajabu
Ndiyo wanakujaga na aina mpya za magonjwaHadi panya serikali ?
😂 unamcheleweshea ratibaBora hao gheto kulikua na panya mmoja huyo alinisumbua sana ilifika hatua nikichelewa kurudi anawasha jiko anajipikia
Sure, lilikuwa ni panya heavy weight na paka walikuwa wawili wanalifukuza panya likisimama paka nao wanapiga stop 😂!.Mipaka ya siku hizi ni mizoba tu
Wana mkia mfupi na mdomo mrefu wanalia chwi chwi chhwiWembamba,warefu. Wanalia chwi. Chwi. Chwi.
Kuna mmoja alikua ananisumbua muda mrefu nikaweka huu mtego wa mchina akanata nikamtupa pamoja na mtego sababu mtego ulichanika wakati namtoa.Tumia mtego wa mchina ule wa gundi